Naomba ushauri na Mawazo yenu

Naomba ushauri na Mawazo yenu

nzikudaima

Senior Member
Joined
May 27, 2017
Posts
180
Reaction score
91
Mtu unapanga kwenda kumtambulisha mchumba wako kwa wazazi wa upande wa kiume alafu miezi mitatu nyuma unamkuta na michepuko utaenda kumtambulisha au utaacha?

Karibuni kwa hoja wakuu wangu
 
Duh, utakuwa na moyo wa kizngu ww, ambao kwao wao gaysm, voyeurism, swingers, cuckolding... ni mambo ya kawaida kwao
 
Mtu unapanga kwenda kumtambulisha mchumba wako kwa wazazi wa upande wa kiume alafu miezi mitatu nyuma unamkuta na michepuko utaenda kumtambulisha au utaacha?

Karibuni kwa hoja wakuu wangu
 

Attachments

  • FB_IMG_1498744034296.jpg
    FB_IMG_1498744034296.jpg
    28.2 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom