kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,290
- 17,572
Swali: Kama kungekuwepo na sikukuu maalum kila mwaka ambayo wapenzi mke na mume wangeruhusiwa kuamua ama kubadilisha au kuendelea na wapenzi wao ni nani zaidi kati ya wanaume na wanawake ambao wasingepanda kuwarudia wapenzi wao walewale? Kwanini?