I am looking for a wife material

ndusyepo

Senior Member
Jul 2, 2013
165
41
Naitwa Richard age 27yrs naishi Dar maeneo ya Tabata, natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa Dar es Salaam.

-Dini yeyote
-Elimu yeyote
-Umri usizidi 26

Na awe na mapenzi ya kweli kama uko tayar please PM

N.B- NIKO SERIOUS JAMANI.

Asanteni.
 
Naitwa richard age 27yrs naishi dar maeneo ya tabata , natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa dar es salaam .
-dini yeyote
-Elimu yeyote
-umri usizidi 26
Na awe na mapenzi ya kweli....kama uko tayar please PM me or checkme through 0763-143988.
N.B- NIKO SERIOUS JAMANI.
Asanteni.
Utaibiwa wewe mke hatafutwi hivyo, wee subiri utapeliwe na hilo linamba lako la simu
 
Hahahaaa! Eti dini yeyote na umri yeyote! Kiswahili cha wapi hicho mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom