Katika kuchunguza kwangu nimegundua wanaume wengi wanaooa ndugu zao, mfano mtoto wa baba mdogo, mtoto wa mjomba nk. Hawajui kutongoza na hata kama wanajua basi ni waoga na wanapenda kitonga.
Watu...
Kama mada ilivyo nahitaji kufahamu ni muda gani unafaa kujamiiana na ni muda gani haufai wakati mwanamke anapokuwa na mimba?
Na je kuna madhara yoyote kwa mama au mtoto, mama mjamzito anapofanya...
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe...
Mwezi uliopita nilipeleka msiba huko nyumbani (Mkoani) kuzika. Baada ya mazishi pamoja na kukusanya taarifa za wadaiwa na wadai wa marehemu, nikawa guru kutembea tembea kidogo.
Cha ajabu...
Jamani nina ndugu yangu mtoto wa shangazi yetu amekuwa na tabia ya ubishi, ujeuri na asiyesikia kwa wakubwa zake akielezewa jambo yaani mpaka sasa hataki na amekataaa shule akiwa na umri wa miaka...
*Dondoo 10 muhimu sana kwa walezi /Wazazi na Wazazi watarajiwa wote*
[emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255]...
Habari zenu
Leo naomba maoni yenu kuhusu hili jambo
Ni hivi:
Kuna dada yangu anatarajia kuolewa, harusi imepangwa kufungwa mwezi wa 10 ila ishu ipo hivi.
Amezaa na huyo mwanaume mtoto 1 na...
Wasalaam Alekyum! , Shalom! na Amani Ya Bwana! Iwe Nanyi Nyote wana JF-Love Connect.
Kwanza kabisa katika uzi huu nataka kuandika kwa kiswahili fasaha kabisa ili kila kiumbe kitambaacho katika...
Habari zenu,
Nina mwanamke ambaye nilitokea kumpenda sana, of course ni mzuri sana
nikaachana nae, mimi nipo mkoani yeye yupo Dsm, cha kushangaza kila akipiga simu yeye anaomba pesa tu mara laki...
Aisee hii tabia inanikera sana, tabia ya kupiga piga picha kila wakati wahanga wa kubwa wa hii tabia ni wanawake, unaenda na mtu sehemu ile mmefika tu unaona mdada ametoa kasimu kake anaanza...
Wakuu Poleni,na asanteni kwa subra mlioonyesha wakati mnasubiria huu mkasa wa Dunia Hii.
Nilikuwa busy sana na hata leo niko busy lakini kwa imani ya dini yangu kuna kundi nataka kujiepusha...
Wana MMU,
Nauliza wanandugu mkoje?
Mtu umetoka honeymoon hujamaliza hata siku mbili mnaanza kupokezana kama mnafanya patrol. Unajiumwisha ki-ukucha huyoo mbio ooh nimekuja kuonana na daktari...
Kuna ishara kadhaa ambazo unaweza kuzifuatilia ikawa ishara kuwa pengine mkeo au mpenzio anadukuliwa. Inawezekana ikawa si sahihi kwa asilimia 100 lakini hivi vinaweza kuwa viashiria flani.
1...
Wakuu,
Many times nimekuwa nikifuatwa na Marafiki zangu pengine Marafiki zangu wanawaleta Marafiki zao niwape ushauri kuendana na hali ngumu wanazozipitia hasa katika mapenzi.
Wapo...
Habari ya Ijumaa,
Kuna sehemu nimesoma, mdada alikuwa anaomba ushauri wa avae nini ili apendeze na akatoa wasifu wake. Nikaona zaidi ya watu watatu wamemshauri kwamba asihangaike, kutafuta...
Maisha ni mchezo ambao kila mtu anaucheza kwa style yake, usiombe katika kucheza mchezo wa maisha upate 'the wrong partner' hata aliyejela pia hatakuwa na mateso yako.
Kuna mengi tunapitia katika...
1. Fanya mapenzi hata mara moja tu na msichana ambaye hakuvutii ila tamaa tu bila kutumia condom majibu utayapata muda si mrefu.
2. Fanya mapenzi na housegirl bila kutumia condom, utayapata majibu...
Hawa watu maarufu kumbenni waongo hivi wanatangaza majani ya chai yanasaidia tumbo liwe flat kumbe wala hata sio,Rob kardashian kawaumbua baada ya kuweka wazi baby mama wake chyna alifanyiwa...
Habari za sasa wanaJF
Bila kupoteza swala la hasira limekua ishu sana kwangu.
Nimevunja urafik mara kibao pale mschana anaponiambia habar za kijinga mfano kuniomba vocha, kutonipigia au kujibu msg...