Natafuta binti mwenye nia ya kuolewa

Propolis

Member
Aug 21, 2016
34
50
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe na kuanzia Asta shahada (Certificate) na isizidi Shahada (Degree). Awe na kipato chake au mjasiriamali, asiwe Muislam, Msabato au Mlokole.

Niko serious kupata Mwenza wangu ili tupambane na Maisha.

Ahsanteni.
 
Ukikuwa utaacha na degree yako ya centgrade
Hili si jukwaa lake mod pelekeni hii thread mahali pake.
 
Ashasema ni mfanyakazi wa mali asili. Kule ni nyoka tu na mijusi na vyura. Sasa mkuu jamaa awowe tumbili mkuu? ???????????
Porini huwa kuna ofisi mkuu, hayo maeneo nayafahamu sana. Aache ujinga atafute mke wa maana badala ya hawa wanaoshinda kwenye FB.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom