Nyie mnaooa ndugu zenu hamjui kutongoza

Nyie mnaooa ndugu zenu hamjui kutongoza

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Katika kuchunguza kwangu nimegundua wanaume wengi wanaooa ndugu zao, mfano mtoto wa baba mdogo, mtoto wa mjomba nk. Hawajui kutongoza na hata kama wanajua basi ni waoga na wanapenda kitonga.

Watu wa Zanzibar wanaongoza katika hili na ukanda wa Pwani kwa ujumla unakuta mtoto yuko darasa la 5 au form one, anaenda kwa mzazi wa huyo binti anaweka oda, unawezakuta muoaji huyo ni baba yake mkubwa, au shangazi yake ni ujinga mtupu utamuoaje ndugu yako wengine huwaoni?

Nyie mliooa ndugu zenu mje kuni prove wrong kama nadanganya.
 
Tamaduni za watu huna haki ya kuwatukana

masuala ya ndoa hayahusiani na udomo zege
watu huoa sababu ya tamaduni na mila zao
zipo mila zinataka kuoa kwa watu unaowajua vizuri ndo maana wengine huoa
katika ukoo wao huo huo
 
Kwa nini uoe ndugu yako au hata binamu yako?! Si sawa hata kidogo, hata mimi namuunga mkono mleta uzi.
 
Kwa nini uoe ndugu yako au hata binamu yako?! Si sawa hata kidogo, hata mimi namuunga mkono mleta uzi.
Wote wapotoshaji tu. Mtoto wa mjomba ni damu moja na wewe?? Jifunzeni kwanza mjue nini maana ya ndugu. Kimsingi ndugu ni yule mnayeshare damu kwa kiingereza wanaita siblings. Kwa wale mnaosoma Biblia hayo yalianishwa wazi kwenye kitabu cha mambo ya walawi.

Naungana na aliyesema uoani huongozwa na tamaduni za watu husika sio hayo mawazo yenu wakuu. Maana bado kdg utawageukia waarabu maana wao ndo mbaya zaidi sijui kama unajua
 
Nimetoka Kugegeda mtoto wa mjomba yan nimemuacha kachafuka kweli yani, ila ujomba wenyew wa mtaa wa7 sababu ananitumaga ugoro eti....hi hi hi hi.
 
Wote wapotoshaji tu. Mtoto wa mjomba ni damu moja na wewe?? Jifunzeni kwanza mjue nini maana ya ndugu. Kimsingi ndugu ni yule mnayeshare damu kwa kiingereza wanaita siblings. Kwa wale mnaosoma Biblia hayo yalianishwa wazi kwenye kitabu cha mambo ya walawi.

Naungana na aliyesema uoani huongozwa na tamaduni za watu husika sio hayo mawazo yenu wakuu. Maana bado kdg utawageukia waarabu maana wao ndo mbaya zaidi sijui kama unajua
Mtoto wa mjomba dada yako kabisa. Likitokea dharura ujombani wewe na babako nani mkwe mji huo?! Huko ni kukoseana heshima, Mjomba au shangazi ni nduguyo bwana!!
 
Papunchi haitakaa imuache mwanaume salama hasa akiisha zungushiwe na mto ngono, hadi ndugu zako utaoa tu kisha uanze kujitetea.
 
Me naona tuu

Tena kuna katoto cha uncle

wangu cheupeeeee nakalia tymn tu kakikaa vzr niko nacho nakatusua alafu ndoa baadae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom