Katika pitapita zangu nilikutana na mdada mmoja aliniambia hana mpango wa kuolewa, hana mpango wa kuwa na mwanaume ila ana mpango wa kutafuta mwanaume wa kuzaa nae tuu kisha asepe zake.
Kauli hii...
Habari za saa hizi wakuu,ni matumaini yangu mko salama kabisa na mambo yanaenda salama kabisa.
Leo nimeona itakuwa vyema tukikumbushana mazuri ya ndoa japo kidogo baada ya kuona threads kadhaa za...
Nina binti nampenda sana ila anachonikera anaombaomba sana hela hapitishi siku tatu bila kuniomba, Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya...
Habari wandugu..
Nakumbuka miaka ya nyuma familia kuwa na House girl ilikuwa dili sana. Yaani unakuta kila nyumba wana msichana wa kazi (Dada wa kazi) Lakini imekuwa tofauti kwa miaka ya hivi...
Huwa nasoma hizi post Za JF, nawasiliana na watu pm, wengine tunakutana mitaani, na baadhi tunasoma habari zao
Naamini kwa dhati ya moyo wangu, wengi wetu hapa na kwingineko tumewapoteza watu...
[emoji117]Watu wa 3 walipata ajali ya gari na wakawa hawajitambui kabisa. Mtu akatokea sehemu ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada bahati mbaya hakuwa na simu. Kwenye ajali kulikuwa na simu...
Leo naomba niwaulize swali wadada je huwa mnarudisha pete baada ya uchumba kuvunjika kama ulishawahi kuvalishwa na ikitokea mwanaume akadai pete aliyokuvalishwa baada ya uchumba wenu kwisha.
Je...
Ndugu zangu natumai hamjambo,
Hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi...
Poleni na Kazi Wanajamii.
Mimi napenda kujua siri hii maana nilijua ni mimi tu ila kumbe iliwahi,inatokea,itazidi tokea maana nimeona wengi wanaliongelea.
Kwetu wakiume nisijue na wakike kama...
Salaam wakuu,
Mada tajwa yahusika,
Naishi mbali na mama mtoto wangu. Siku za nyuma mambo yalienda vizuri tu ninapopata shida tunasaidiana. Mwaka flani niliingia kwenye mgogoro na mmoja wa ndugu...
Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.
Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake...
Nina mpenzi wangu huwa anajifanya ana ana akili sana, yeye anafahamu kushona nguo, hivi juzi ameomba nimnunilie cherehani ya kushonea pia nimpatie pesa kwa ajili ya kufungua ofisi yake, hayo yote...
Hi every one,
Ninahitahi kufanya party ya kumvalisha pete ya uchumba girlfriend wangu. Tatizo linakuja ni kuwa sijui nianzie wapi na nifuate tararibu zipi.
Kuhusu familia tushatambulishana...
Wahenga mnaweza mkafikiri kwamba mnazijua njia zote hatarishi zitakazopelekea Binti kuukwaa ujauzito!
Sasa basi haya yafuatayo ni mtiririko wa matukio ambayo yanaweza kumpelekea mchuchu akainusa...
Ni kwel fedha haijawahi kumwacha mwanamke salama bila kuigharimia ila wakati mwingine waweza kujikuta unatumia kuuguza jeraha la moyo kutokana na kukataliwa pale unapohisi kila mwanamke ni rahisi...
Huwa najiuliza kwanini wazazi wengi wetu huwa tunaamini watoto wetu wana ulazima kufanikiwa katika maisha hata kama sisi wenyewe hatuna mafanikio ?
Sambamba na hilo tumekuwa wakali kulazimisha...
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumbani tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asubuhi wakiamka wanaenda shule na wazazi kazini, wanapoondoka...
Mje tujadili hili, maana wengine wanalifanya ni jambo kama marathon.
Straight to the point, In my opinion:
Monday to Friday:
Choose any three days(consecutive or not), and do it either in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.