Wanawake kwanini mnawaogopa House girls?

Wanawake kwanini mnawaogopa House girls?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,251
Reaction score
2,131
Habari wandugu..
Nakumbuka miaka ya nyuma familia kuwa na House girl ilikuwa dili sana. Yaani unakuta kila nyumba wana msichana wa kazi (Dada wa kazi) Lakini imekuwa tofauti kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo nini?

Mkasa wenyewe ni Hivi
Tulikuwa tunapiga story na baadhi ya wadada/wanawake hapa kazini kwetu. Katika story mbili tatu nikaingizia kuhusu wadada wa kazi basi walianza kutoka povu balaa.

Kila mmoja alimaliza maneno kwa kuwatukana hawa ndugu zetu wanaotusaidia kazi. Nikajiuliza kwa nini miaka hii wadada wa kazi wanakuwa kama maadui zetu?

critical thinker
 
Acha matusi jomba

critical thinker
Samahani Mkuu.....
Uliposema wanawake kazini kwenu, niliku misunderstood.....[emoji5] [emoji5]
Samahani sana mkuu, sikujua kama wewe ni Me
 
Tulikuwa tunapiga story na baadhi ya wadada/wanawake hapa kazini kwetu.Katika story mbili tatu nikaingizia kuhusu wadada wa kazi basi walianza kutoka povu balaa.Kila mmoja alimaliza maneno kwa kuwatukana hawa ndugu zetu wanaotusaidia kazi. Nikajiuliza kwa nini miaka hii wadada wa kazi wanakuwa kama maadui zetu?

Tafuta house girl then utapata jibu toka kwa mke wako, wala watu wasikuchanganye hapa.
 
Back
Top Bottom