jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,362
Watu wa 3 walipata ajali ya gari na wakawa hawajitambui kabisa. Mtu akatokea sehemu ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada bahati mbaya hakuwa na simu. Kwenye ajali kulikuwa na simu 6 lakini zote zilikuwa na passwords. Mwisho wa siku wakafa wote.
Mjamzito alianguka ghafla nyumbani kwake akiwa na mwanae mdogo wa kike, alivyoona mama yake anagugumia maumivu huku hajitambui, alichukua simu ya mama yake ili ampigie baba yake kwa msaada zaidi, simu ilikuwa na password akapoteza maisha.
Nani mwenye makosa?
USHAURI WANGU
Wewe ni wa thamani sana kuliko taarifa unazoziwekea usalama katika simu.
Weka password katika WhatsApp, fb, Sms, Picha n.k lakini acha upande wa Phonebook na calls siku moja yawezekana ukaokoa maisha yako au ya wapendwa wako.
Password katika simu yako yaweza pelekea umauti wako.
Fikiria mara mbili
Kama nimewaboa samahani lakini hiyo ndio hali halisi jamani