MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 560
- 320
Nina binti nampenda sana ila anachonikera anaombaomba sana hela hapitishi siku tatu bila kuniomba, Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon, ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa, mara simu mpya, yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu, akittuma sms eti anasema ananipenda sana, kwa style hii?