Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,666
- 729,790
Huwa nasoma hizi post Za JF, nawasiliana na watu pm, wengine tunakutana mitaani, na baadhi tunasoma habari zao
Naamini kwa dhati ya moyo wangu, wengi wetu hapa na kwingineko tumewapoteza watu muhimu sana kwetu kijamii na hata kitaifa na wakati mwingine kimataifa
Tuna wengi katika jamii yetu hii wako katika hali fulani kimaisha na wanakumbuka kwamba Kama fulani angekuwa hai Leo hii nisingekuwa hivi ama nisingekuwa hapa au nisingekuwa na haya mateso
Hawa ni wazazi wetu walezi ndugu marafiki jamaa na hata watu baki.. Wanatokea katika maisha yetu na kuwa watu muhimu mno watu wa msaada sana watu wa upendo sana....halafu ghafla wanazimika na kuzima ndoto nyingi, matumaini mengi fursa nyingi na hata misaada
Mambo yanapokuwa magumu, shida zinapozidi, unapopoteza matumaini Unakumbuka na kujisemea fulani angekua hai haya yote yasingetokea
Bahati mbaya ama nzuri mipango ya Mungu si ya mwanadamu, yeye ndie ajuaye Kutoka kwetu na kuingia kwetu....kila jambo linafanyika na kutokea kwa sababu..
Mungu hawezi kamwe kuziba milango yote lazima kuna mmoja atauacha wazi... Jitahidi uuuone.....
Cha kusikitisha ni kwamba wema anawachukua wabaya anawaacha... Imagine Leo hii ungeambiwa nani angestahili kufa ama kubaki ungempendekeza nani?