Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asante wadau, kuna Demu wangu tumeachana tena kaniacha kwa nyodo sana na sonyo juu fyuuuuuuh,sasa baada ya siku kupita mm nikatulizwa na mtoto mwingine mwenye shape lake sasa uyu aliye niacha...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za jumapili Jana nilikuwa nasikiliza clouz radio kile kipindi cha alasiri. Yule mwana saikolojia akasema, "anayevunja ndoa/uchumba n.k huko atakako enda hatatulia, atapata misukosuko...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Nimegundua ya kwamba wanawake wengi walioachika katika ndoa zao wana ushuhuda wa uwongo kwa wanawake wasioolewa. Utamkuta mdada mzima amezalishwa halafu ameachwa kwa makosa yake anawaambia...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Wasaalam wana jamvi, Kumekuwa na malalamiko mengi sana pale mwanamke anapobemba mimba bila kumshirikisha mpenzi wake ama mchumba. Na wakati mwingine unakuta mwanaume hujapanga kumuoa huyo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ivi unawezaje kuishi na mpenzi wenye tabia ya kulalamika yaani hata umpe kitu gani . Mwisho wa siku yeye atalalamika na kuongea ili mradi uonekane wewe ni mbaya Leo hili kesho hili ivi...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimewaza nimeona nikushirikishe , nini mtazamo wako? Mabadiliko kwenye kwenye suala la kumpata mwenza (mchumba,mke) Miaka ya 80-, mwenza kwa asilimia kubwa mwanaume alipewa /alichaguliwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi,bilashaka mmekuwa na jpili iliyonjema kabsa.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35,ni daktari wa binadamu na naishi dar na nimebahatika kupata watoto wawili ambao nawapenda...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Jamani hamjambo, (napenda in mkulu voice). Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena...
6 Reactions
277 Replies
21K Views
*JE,WAZIJUA SIRI KUMI ZA NDOA* 1. *KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA UDHAIFU WAKE* *Mungu* pekee ndiye hana udhaifu, Kila ua waridi unaloliona lina chimbuko lake. 2. *KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE...
8 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu Nimepata kuona na kusikia majina ya hawa wake wa viongozi wetu wakiachana na majina yao ya awali kutoka kwa wazazi wao na kujivika majina ya waume wao Kwa mfano, Salma Kikwete, Linah...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Yusufu alipotakiwa kuzini na mke wa Potifa, alijibu tu "nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkose Mungu?" Mwanzo 39:9. Hakuna utetezi dhaifu pale unapotongozwa kama kusema, namuogopa mume wangu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndoa nyini zimekua na misukosuko lukuki kwa sababu ya kukosea tu hatua ya awali ya kufanya uchanguzi sahihi wa mwenza. Lakini pia haina maana kidume uliye na sifa zifuatazo huna haki ya kuoa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wanajamii? Mpenzi wangu tumekorofishana naye baada ya yeye kukwaruzana na kaka yangu. Ingawa kaka yangu yupo radhi kurekebisha lakini mpenzi amekuwa na roho ngumu na kukaza kwamba Mungu...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Hayafai kutajwa kwenye kadamnasi ila anaonekana huo mchezo alioucheza ulikuwa wa rafu nyingi kwa sababu imepelekea hadi amwite jina lake na pia kuongea matusi Kwa kweli wanaume tumezaliwa mateso
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Age should be between 18-26. Mengine tuongee PM. Thank you.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAANDALIZI YA MWANAMKE KABLA YA NDOA... Ndoto ya wasichana wengi ni siku moja kuja kuolewa. Mungu ametuahidi baraka zake nyingi ikiwamo baraka ya ndoa hivyo haupaswi kukaa na kusubiri hadi upate...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi hili andiko uwa hawalisomi 1tim2:8-13
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWANINI MWANAUME UMPENDE MKEO..? Katika Maandiko matakatifu Mwanamke anaagizwa Kumtii mumewe na mwanaume kumpenda mke wake.. Efeso 5 :22 ,24. Ni Kwanini Mwanamke anatakiwa amtii mume wake? Ina...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Habari za mda huu wana jukwaa pendwa la MMU, Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu kuwa hawa mama wa kambo kwanini wengi wao wana roho mbaya sanaa kwa watoto wa baba...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom