PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Leo naomba niwaulize swali wadada je huwa mnarudisha pete baada ya uchumba kuvunjika kama ulishawahi kuvalishwa na ikitokea mwanaume akadai pete aliyokuvalishwa baada ya uchumba wenu kwisha.
Je, utampa au utabaki nayo na ukiangalia pete uliyovalishwa ni ya bei mbaya?
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Je, utampa au utabaki nayo na ukiangalia pete uliyovalishwa ni ya bei mbaya?
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app