Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima kwenu wakubwa Ni Kijana mmoja mtanashati,, mwenye sifa zote za kuwa hubby,,nimekaa nae kwa mahusiano takbani mwaka sasa.japo twaishi miji tofauti Tumepitia migogoro Mingi sana Tushaachana...
0 Reactions
94 Replies
7K Views
Salaam wana jukwaa. Mimi nakuja jukwaa hili kutafuta mtu ambaye tunaweza anzisha mahusiano serious yatakayopelekea tupate mtoto/watoto pamoja and I promise to be a responsible father. Lengo kuu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kutokana Na masaibu ya maisha nilichelewa kuoa mke mwema Ila nimebahatika kupata zawadi ya mtoto wa kike mwenye miaka 2 Na nusu Mama yake tumeshindana tabia kutokana Na mienendo yake isiyo mizuri...
0 Reactions
128 Replies
7K Views
Habari wakuu Kwa mujibu wa pita pita yangu ya hapa na pale, nimejiridhisha pasina shaka yoyote kuwa zaidi ya robo tatu ya wanaume walioko kwenye ndoa wamewachoka wake zao. Hivyo basi, wanaume...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hope mpo poa Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu ila baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu...
7 Reactions
673 Replies
44K Views
Habari za leo wana forum, Mimi ni kijana at late 20's toka nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90 nilikuwa nafahamu kuwa baba na mama yangu ndio hawa waliokua wakinilea lakini mwaka 2015 wakati...
7 Reactions
201 Replies
16K Views
Habari kama kichwa cha habari lazima nipate muchumba mzuli na mwenye shepu ya ajabu humu jamiiforum nimeeanza mchakato wa kuwafuata inboxxx
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nina jamaa yangu ana mchumba wake anatarajia kufunga nae ndoa tatizo linakuja kwenye simu anacholalamika yeye simu yake haina password iko free na ana iacha tu lakini huyu mpenzi wake simu yake...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Habari za wakati huu bosses! Ngoja niende straight to the point. Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
Aise kuna tabia imeibuka siku hizi kutoka kwa hawa viumbe wa upande wa pili. Nayo ni pale unapokuwa unahitaji kuanzisha naye mahusiano, utasikia akiuliza" unafanya kazi gani? mara wapi.. Mara ohh...
14 Reactions
76 Replies
8K Views
Ndugu zangu nawasalimu kwa upendo mkubwa na ni imani yangu kuwa mmekuwa na siku njema kabsa,juzi nilikuja katika jukwaa hili nikaeleza hitaji langu la kupata mke wa kuoa na niwashukuru wale ambao...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni kijana umri miaka 27, natafuta marafiki wabunifu ambao wako tayar kushirikiana n mimi katika kubadilishana mawaz na uzoefu katika maswala ya kijasiliamal . sending using jamiiforum makinikia
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia...
5 Reactions
91 Replies
12K Views
Hivi mnadhani ni kwa nini katika familia nyingi kuna baadhi ya watoto wanabeba tabia za ajabu mpaka hata wazazi wenyewe wanashangaa? Watoto hawa si wa nje ya ndoa kwani hubeba sura halisi za...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
#NUKUU "Wanawake wengi ambao ni wanaharakati asilimia 90 hawana wanaume yaani hawajaolewa" :- Lusekelo Anthony. CHANZO: East Africa Redio
8 Reactions
115 Replies
10K Views
Habari za mda huu wana jukwaa pendwa la MMU... Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada KWANINI WANANDOA wanachepuka... Kuchepuka huku kwanza kabisa ni kule wengi wao unakuta wanarudiana na x wake...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Haya jamani kama kichwa cha habari kinachosema, Kule unyagoni tulifundishwa mume akirudi asubuhi muandalie staftahi wala usimuulize anatoka wapi. Kungwi akidai shughuli za wanaume ni nyingi...
25 Reactions
660 Replies
46K Views
It's a new day MMU family. Kwa nini wanaume tunanifariji kuwa wadada pekee ndio wanakuwa na stress za kuolewa? Je, ni kweli kwamba vijana wa kiume hawakumbwi na wimbi la stress hasa wanapofikia...
34 Reactions
771 Replies
46K Views
"Nafikiri Furaha ndiyo Humfanya Mtu kuwa Mzuri, Watu wenye Furaha ni Wazuri. Maisha ni Leo Kesho ni Majaliwa. Unatakiwa Kufanya Maamuzi ya Kukufanya uwe Na Furaha sasa Hivi, unatakuwa Uanze Upya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au...
19 Reactions
180 Replies
12K Views
Back
Top Bottom