Uncensored
New Member
- Jul 16, 2017
- 4
- 5
Hi every one,
Ninahitahi kufanya party ya kumvalisha pete ya uchumba girlfriend wangu. Tatizo linakuja ni kuwa sijui nianzie wapi na nifuate tararibu zipi.
Kuhusu familia tushatambulishana, nachotaka ni engagement tukiwa tunajiandaa kwa ndoa. Nawasilisha kwenu wana JF.
Asanteni.
Post sent using JamiiForums mobile app