agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,397
Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.
Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake waliyezaa nae watoto watatu kumuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambaye kwa kuangalia tu amfikii mama watatu hata kwa ukucha, tena mbaya zaidi huyu mwanamama alibadili dini ili afunge ndoa na huyu bwana x lakini akaambulia patupu.
Chakushangaza mwanamke mupya ndoa imetangazwa ndani ya miezi mitatu tena na kufungwa kwa bwembwe zote na mwanaume alivyomshenzi anagawa DVD ya harusi kwa kwa majirani maana walifungia mkoani ninachojiuliza mwanamama wa watu alikuwa na kasoro gani au ndumba.