Historia inaonesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia chakula kumvutia mpenzi. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na kuna wakati ni...
Huyu jirani yangu amekuja kuniomba ushauri. Alikuwa na michezo michezo na housegirl wake mama mwenye nyumba akiwa kazini, baada ya kugundua kuwa binti bado mwari aliingia gear za kuoa sasa binti...
Ndugu zangu, kweli ni sahihi kwa mke wangu kuniambia kama rafiki yangu wa karibu ambaye pia ni mfanyakazi mwezangu yakuwa amemtongoza.
Na je nifanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia mwanamke anasema,"nyie wanaume wote ni sawa" wewe muulize kama wanaume wote ni sawa mbona mnachukua muda mrefu kuwachagua mnaowapenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jamvi,
Habari za mida tena, kuna story yangu nataka niwashirikishe halafu mnipatie mawazo yenu.
Mimi ni kijana toka pande za kaskazini mwa Tanzania, nikiwa natokea katika kabila la pili...
Miaka mingi watu wamelia sana Kwa kuumizwa na watu wao wa karibu(marafiki).
Sio mbaya tukashare yalitukuta Mtu uliyedhani ni rafiki yako siri yako yake, siri yake yako,shida yake yako ya kwake...
Kwanza kabisa napenda kutanguliza salamu zangu kwa kila mtu.
WanaJF nimepatwa na matatizo katika masuala ya mahusiano na mapenzi.
Mnamo mwaka 2015 nilifahamiana na binti mmoja ambaye tulikutana...
(1) Kuchat Na Kuwasiliana Na X Wako;
Huyu hana nia nzuri na wewe, mlishaachana hata kama ni ile kuachana kwa wema lakini kuna mawili, ukimchekea sana atakugonga lakini mumeo akijua anakutimua...
Habari wadau,
Nina mke na mtoto mmoja na hivi karibuni nimekamata mawasiliano yaliyoonesha kuwa wife ananisaliti na jamaa mmoja hivi nikafatilia vizuri ikawa ni kweli na alikwishatembea nae mara...
Habari zenu,
Leo katika pita pita zangu mtandao mmoja wa home nimekutana na kituko ambacho sijafurahishwa nacho. Kumetokea msiba lakini jambo la kuhuzunisha ni kitendo cha mtoto wa marehemu...
Je, uliwahi kujiuliza swali, "Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?" Kama bado anza kujiuliza sasa. Andika jawabu lako kwa sentensi moja. Halafu, soma makala ya Greta...
Habari za jukwaa la MMU bosses.
Sisi kama binadamu tumetofautiana kwa mambo mengi sana. Kimtazamo, jinsi tunavyoyachukulia mambo na lifestyle kiujumla.
Huwezi amini naweza nikamaliza week...
Alhamisi ilikuwa ni kilele cha maadhimisho ya cku ya sheria nchini mi pia ni mdau wa sheria......nilikuwa nimeenda mahakama kuu..... Wakati nipo kwny viwanja vya mahakama ghafla nikastuka naitwa...
Habari za wakati huu,,
Poleni Na majukumu ya kutwa nzima
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Umbali unaweza kuwa chanzo cha mahusiano kuvunjika?
Nimeshuhudia mahusiano mengi ya mbali yakiwa...
Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta...
Binti mwema hugeuka kuwa mke mwema pale tu anapoolewa. Lakini je Binti mwema ni yupi? Ni binti mnyenyekevu aliye tayari kusujudu chini akiomba na kusali kwa Bwana muumbaji wake, binti anayependa...
Nikiwa kama binadamu yeyote yule wakati fulani huwa nakaa nawazaaaaaa........halafu naanza kuyajutia yale niliyoyafanya na wale niliowafanyia ambao hawakustahili niwafanyie hivyo au haikustahili...
Baada ya kunipa muda wa siku tatu ili nitekeleze yale masharti yake matatu ambayo kwangu yalikuwa ni magumu sana kuyatimiza muda ulipita nae akaamua kukaa kimya kabisa bila kunikumbushia lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.