Ukweli Unauma: Binti mwema hawezi kufikisha miaka 26 bila kuolewa

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,587
Binti mwema hugeuka kuwa mke mwema pale tu anapoolewa. Lakini je Binti mwema ni yupi? Ni binti mnyenyekevu aliye tayari kusujudu chini akiomba na kusali kwa Bwana muumbaji wake, binti anayependa kazi zenye kulinda utu na heshima yake, ni binti anayejua fika kuwa hataendelea kuwa mwaminifu kama hatatekeleza agizo la ndoa kwa muda mzuri kwahiyo kama ni mwanafunzi atajitahidi kusoma huku akiomba mme mwema kutoka kwa Bwana ili kabla au anapomaliza tu anaolewa na kupata ulinzi wa mme ktk mambo ya ndoa.

Ni binti ambaye waweza kuta ni msomi au ana hela nzuri tu lakini huoni wala kusikia maneno ya dharau kutoka kwake, ni binti asiyeshindana na wanaume ktk kubadilisha wapenzi, ni binti anayejua kuwa kamwe hawezi kuwa kichwa ktk familia ila atabaki kama shingo ya kumuelekeza vyema huyo mme atakayempata.

Ni binti asiyebabaikia neno 'I LOVE YOU' pale atakapoambiwa hutafakari je huyu anataka ndoa au Kuchapa na kukimbia au kwa lugha nyingine sio mwepesi wa kuvua vua, ni binti anayekumbuka kabisa kuwa atakuwa salama iwapo ataomba mme mwema kutoka kwa Bwana.

Ni binti asiye na mambo mengi yasiyo na maana, lakini pia ni binti ambaye huwezi kumkuta ana umri wa miaka 26(kwa wale walio na elimu ya chuo kikuu) au miaka 20 kwa walioishia standard 7,form four na form six bado hajaolewa. Hatakama atakuwa mwanafunzi ataomba Bwana ampe mme wa ndoa kama ulinzi kwake.

Ni binti asiyetafuta ndoa kama kichaka cha kujificha baada ya kuchoka kuchezewa mno na masharobaro ila huingia kwenye ndoa kama sehemu ya mwendelezo wa maisha mema.

Lakini hali imekuwa tofauti Siku hizi tunaona mtaani na kwenye mitandao eti binti anatafuta mchumba akiwa na miaka 26,27,28,29,30,31,32,33,34,35 na kuendelea hadi menopause age, tena wanajifanya kwa muda kuwa watulivu kumbe scrappers tupu, hawakupenda ndoa kabisa hata walipochumbiwa na wanaume waoaji waliwakataa bila sababu ila sasa wanakimbizana kwenye mitandao kutafuta waume huku wamekuwa sugu nanilii zao.

Unataka scraper ya mwili wako aimiliki nani? Labda scraper mwenzako ili mkishaoana muwe "DOUBLE SCRAPPERS MARRIED COUPLES" Nisikilize vizuri, binti mwema havui vui ovyo na kuanika anika ovyo sehemu zake za siri.

Tafakari chukua hatua maana nikikuelimisha mwanamke nimeelimisha taifa lote la Tanzania.
 
Binti mwema hugeuka kuwa mke mwema pale tu anapo olewa, lakini je Binti mwema ni yupi? ni binti mnyenyekevu aliye tayari kusujudu chini akiomba na kusali kwa Bwana muumbaji wake, binti anayependa kazi zenye kulinda utu na heshima yake, ni binti anayejua fika kuwa hataendelea kuwa mwaminifu kama hatatekeleza agizo la ndoa kwa muda mzuri kwahiyo kama ni mwanafunzi atajitahidi kusoma huku akiomba mme mwema kutoka kwa Bwana ili kabla au anapomaliza tu anaolewa na kupata ulinzi wa mme ktk mambo ya ndoa, ni binti ambaye waweza kuta ni msomi au ana hela nzuri tu lakini huoni wala kusikia maneno ya dharau kutoka kwake, ni binti asiyeshindana na wanaume ktk kubadilisha wapenzi, ni binti anayejua kuwa kamwe hawezi kuwa kichwa ktk familia ila atabaki kama shingo ya kumuelekeza vyema huyo mme atakayempata, ni binti asiyebabaikia neno 'I LOVE YOU' pale atakapoambiwa hutafakari je huyu anataka ndoa au Kuchapa na kukimbia au kwa lugha nyingine sio mwepesi wa kuvua vua, ni binti anayekumbuka kabisa kuwa atakuwa salama iwapo ataomba mme mwema kutoka kwa Bwana, ni binti asiye na mambo mengi yasiyo na maana, lakini pia ni binti ambaye huwezi kumkuta ana umri wa miaka 26(kwa wale walio na elimu ya chuo kikuu) au miaka 20 kwa walioishia standard 7,form four na form six bado hajaolewa. Hatakama atakuwa mwanafunzi ataomba Bwana ampe mme wa ndoa kama ulinzi kwake, ni binti asiyetafuta ndoa kama kichaka cha kujificha baada ya kuchoka kuchezewa mno na masharobaro ila huingia kwenye ndoa kama sehemu ya mwendelezo wa maisha mema. Lakini hali imekuwa tofauti Siku hizi tunaona mtaani na kwenye mitandao eti binti anatafuta mchumba akiwa na miaka 26,27,28,29,30,31,32,33,34,35 na kuendelea hadi menopause age, tena wanajifanya kwa muda kuwa watulivu kumbe scrappers tupu, hawakupenda ndoa kabisa hata walipochumbiwa na wanaume waoaji waliwakataa bila sababu ila sasa wanakimbizana kwenye mitandao kutafuta waume huku wamekuwa sugu nanilii zao. Unataka scraper ya mwili wako aimiliki nani? Labda scraper mwenzako ili mkishaoana muwe "DOUBLE SCRAPPERS MARRIED COUPLES" Nisikilize vizuri, binti mwema havui vui ovyo na kuanika anika ovyo sehemu zake za siri. Tafakari chukua hatua maana nikikuelimisha mwanamke nimeelimisha taifa lote la Tanzania.
Utapingwa sana ndg.ila ujummbe umefika % 100
 
Wengine mnaandika kutafuta mjaze thread kuna binti ameolewa na 29yrs and she is virgin sio fake pure kabisa na very decent mumewe wala hajutii!
Acheni kashfa Mungu ndo anajua atakupa lini mumeo!
Sosi pliziiiii


Huo umri kwa tz hakuna, hakuna bikra aseee
 
Sosi pliziiiii


Huo umri kwa tz hakuna, hakuna bikra aseee
kwenu huko ndo hakuna kwa sababu wanawaza ngono ni mtoto wa marehemu aunt yangu tena wakwe walivyojua walimpa mama ake mlezi laki 5 za ahsante na ng'ombe
Kalaghabaho
 
kwenu huko ndo hakuna kwa sababu wanawaza ngono ni mtoto wa marehemu aunt yangu tena wakwe walivyojua walimpa mama ake mlezi laki 5 za ahsante na ng'ombe
Kalaghabaho
Tushazoea hadithi za kutungwa,, weka uthibitisho sio kuja na habari za mahusiano yako na huyo bikra

Kama swala ni sehemu unayotoka siyo kipimo cha kutufanya sisi tuamini kirahisi

Nimeomba uthibitisho sijaomba undugu
 
Nakubaliana na mtoa mada lkn sio sehemu ya umri.lkn kupata wanawake wa aina hiyo pia ni jambo la kushukuru.hawako wengi ila wazazi na walezi pua wanachangia kupungua kwa maadili ya mabinti
 
Tushazoea hadithi za kutungwa,, weka uthibitisho sio kuja na habari za mahusiano yako na huyo bikra

Kama swala ni sehemu unayotoka siyo kipimo cha kutufanya sisi tuamini kirahisi

Nimeomba uthibitisho sijaomba undugu
uthibitisho alivyokua anatolewa bikra au?!!
 
Back
Top Bottom