Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti. Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello my dears Wana JF, Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Wenye Mamlaka na hiki Kisiwa kizuri na chenye sifa kemkem duniani cha Zanzibar huwa mkibanduana / mkifanya mapenzi / mkingonoka huwa mnatumia silaha gani za maangamizi ili kumuepuka Kirusi HIV...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
WanaJf babarini za jioni, poleni kwa masumbuko ya kila siku imependeza niwaletee mada ihusuyo ndoa na uhalisia wa maisha Unajua unaweza kuwa mwanajeshi tena Brigedia a kwenye ndoa ukawa kuruta...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu za jioni, Mimi ni mume na baba wa mtoto mmja wa miaka kama 4 na nimedumu kwenye ndoa takribani miaka 5 niko na huyu mwanamke.Sasa tokea huyu mtoto kazaliwa huyu mtoto simwelewi...
11 Reactions
66 Replies
10K Views
Kutokana na experience tosha ya maisha ya kuishi na kushuhudia wanawake walioolewa ulimwengu wa roho napenda nitoe sifa zao chache kama ifuatavyo:- 1. Hawapendi kufanyiwa matendo yampasayo...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa miaka 29. Mwajiriwa. Nahitaji mwanamke wa kuoa. Dini yeyote. Awe na umri kuanzia 20-28 Awe na elimu kuanzia kidato cha 4 kuendelea. Asiye na kazi ya kumuongezea kipato atapewa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilifanya kazi kwenye mradi flani katika mradi ule tulikuwa tukilipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano na kama unahitajika tena ulichukuliwa kwa mkataba mpya. Nilipata marafiki wawili...
3 Reactions
7 Replies
928 Views
Ndugu, Hivi kwanini pakiti ya condom huwa zipo tatu tu? Mimi nimejiuliza nikaona kuwa kiwango cha ku_pees ni mara tatu kwa hali ya kawaida. Je wewe unafikiri ni kwasababu gani ?
2 Reactions
43 Replies
8K Views
Salaam jf members Hivi inakuaje watu wazima wenye familia zao,wanakua wanashindwa kua na busara,hekima na uvumilivu? Hivi jf hapa ni kama nyumbani kwetu sisi ni wanafamilia moja au majirani...
75 Reactions
2K Replies
86K Views
Hivi inakuaje vijana wa kiume wawili mliomaliza chuo kikuu mnaishi kwa dada yenu? Mbona Mbagala kuna hadi vyumba vya elfu tano kwa mwezi? Nyie wanaume wa Dar mnaoishi kwa dada zenu ondokeni na...
13 Reactions
142 Replies
18K Views
Wadau, Nina rafiki yangu ana mpenzi wake lakini hadi sasa wana miezi minne hajawahi kupewa mchezo na mpenzi wake. Lakini pia hata sex stories mpenzi wake kuzungumza na mshikaji yaani kila...
1 Reactions
73 Replies
11K Views
Imezoeleka sana kuona mambo yakiyumba ndani ya familia nyingi sababu mojawapo Ni kama zifuatazo. Wanandoa au watu kukosa mission, miaka inaenda inarudi watu hawakui 'they are not growing in terms...
13 Reactions
35 Replies
4K Views
Nilivyoachana na msichana wangu wa kwanza Jan 2014, nilitaka niwe free na nisijihusishe na mapenzi tena mpaka pale akili yangu itakapo kaa sawa. Hii ni kwasababu kipindi tunaachana nilipanic...
3 Reactions
111 Replies
9K Views
Hbr wadau, Mimi ni kijana wa miaka 30, mhitimu wa chuo kikuu na nimejiriwa ofisi moja hapa Dsm. Natafuta binti wa kuoa... Muhimu : awe msabato / ajiandae kubadili dini kua msabato. Sifa za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ushauri wenu wana JF, Kuna binti nilitokea kumtongoza toka 2010 akiwa form one akawa ananizungusha na kukubali kwa shingo upande. Sikukata tamaa kwani alikua jirani hivyo nikawa namtania kila...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Salaam kwenu nyote wadau wa jukwaa, Niende kwenye topic ipo hivi, Binafsi najishughulisha na biashara sasa katika kazi zangu ilitokea nikafahamiana na binti ambae tulianza mawasiliano, binafsi...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Im 27,ninahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa,,awe tayari kunipenda,,sifa zangu,urefu mrefu wastani,maji ya kunde,kipato cha kawaida tu and nafanya kazi serikalini,,,,,natafuta mke aliye tayari...
0 Reactions
5 Replies
892 Views
Back
Top Bottom