Wana jamvi,
Habari za mida tena, kuna story yangu nataka niwashirikishe halafu mnipatie mawazo yenu.
Mimi ni kijana toka pande za kaskazini mwa Tanzania, nikiwa natokea katika kabila la pili linaloongoza kwa umaarufu miongoni mwa makabila yanayopatikana mkoani humo.
Sasa basi kipindi kama cha miongo miwili iliyopita nilibahatika kwenda kwenye mafunzo ya jadi maarufu kama jando, kilichokua kinafanyika kule ni pamoja na mafunzo ya kuihudumia familia yako pamoja na mbinu za kumridhisha mwanamke kimapenzi.
Baada ya wiki sita za mafunzo mbalimbali tulitoka na kufanyiwa sherehe Kubwa, siku ya sherehe Babu alinifuata na kuniambia anataka anifanye mwanaume kamili, mimi sikumuelewa.
Babu aliniambia niende kwake jioni. Nilipoenda jioni hiyo aliniingiza chumbani kwake na kuniambia nitoe uume wangu, baada ya kuutoa uume wangu alinichanja chale na kunipaka mafuta ya uume wa punda akachanganya na dawa nyingine, huku akichanganya na maneno yake anayoyajua yeye mwenyewe.
Baada ya wiki uume ulikuwa mkubwa mpaka leo unanitesa kwani umekuwa mkubwa na mrefu, halafu cha ajabu hata kama ni bao la kwanza ninachelewa mpaka nakua kero kwa mwenzangu, jamani nisaidieni kwani nakosa raha kabisa, Babu amefariki tangu 1998, mpaka sasa nishakimbiwa na wapenzi kadhaa kutokana na maungo yangu kuwa makubwa!!
Ahsanteni wote mtakaochangia matusi na comments za ajabu ajabu sitaki.