egdius nestory
Member
- Jul 31, 2017
- 32
- 24
Shauri yako mama sikuizi sisi tuko wachache sana ujue.Unataka tuwe wanyenyekevu ili kila siku tuonewe eeenh!!!! Wakiboa lazima waambiwe
Kama mpo wachache ndo tuwanyenyekee???? Acheni kuwa na fikra za kizamani