Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimetoka kumaliza chuo kikuu kimojawapo hapa DSM, kwasasa nafanya shughuli zangu binafsi ambazo zinaendana na fani niliyosomea chuoni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar zenu wanajukwaa, Kwa mfano una watoto wawili mapacha wa kike na kiume, wote wamefika miaka 17. Umepita dukani ukaamua kuwanunulia chupi, WA kiume umemchukulia boksa, je wakike nae...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu juzi tu ananambia kuwa ananipenda lakini ameona bora awe na mtu mwingine kwa kuwa uyo mtu anamaisha magumu na huyo mtu anampenda yeye sana hivyo anaamua kuwa nae kama njia ya...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Nimepata taarifa kuwa wanawake wa Unguja na Pemba ni watiifu sana kwa waume zao, Wanatii maagizo na miongozo ya waume zao kwa kiasi kikubwa kuliko wa Tanzania Bara. Wanawake wa Zanzibar wengi...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mtangazaji Geah Habibu ameifuatilia hii stori ya mwanaume ambaye anadaiwa kumuwekea mkewe sumu kwenye chakula kwa ajili ya mwanamke mwingine. Indaiwa kuwa mwanaume huyo alimchoka mke wake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello wadada na wakaka wa JF, Leo nilikua naomba tupeane maarifa juu ya vyakula natural vinavyo boost hamu ya kufanya mapenzi, lol hasa kwa wanawake nimeona divorces, nyingi ni pale mke anapofika...
2 Reactions
53 Replies
13K Views
HUYU NDIO WA KUOA ILA SIJUI KAMA ANAPATIKANA TANZANIA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakakuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2.ukienda nae hotelini akaamua kuagiza...
10 Reactions
83 Replies
8K Views
Habari wakuu, Nina mdogo wangu kaamua kuoa, anayetaka kumuoa ni Mnyamwezi. Hivyo kabla hatujaenda kulipa mahari ningependa kujua ni vitu gani vya kimila ambavyo huwa wanadai. Kwa mfano; baadhi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni mama ninaetafuta mwenza wa kuishi nae. Mimi ni mfanyabiashara na mkulima. Nina elimu ya chuo. Ni mcha Mungu. Natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati. Sichagui dini,kabila,elimu etc...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Ulishawahi kujiuliza kwa nini kuna Wadada wengi sana siku hizi hawajaolewa? Siyo kwamba hawapati Wanaume au hakuna Wanaume wa kuwaoa bali ukweli ni kwamba hawapati Wanaume wanaowataka wao, kama...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Husika na kichwa cha barua hapo juu, Sifa za mke. -Umri miaka 26-30 -Maji ya kunde au mweupe -Elimu kuanzia diploma -Ajue kupika -Mwenye msambwanda atafikiliwa zaidi Sifa zangu. - Miaka 32 -...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Edward Niko dar umri 28, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae kwa atakaekuwa tyr anitafute kwa namba hii 0746802325. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Nahitaji mrembo mweusi mwenye mvuto ili awe mpnz na baadae awe mke.dini awe muislam lkn kabila lolote. Atakaekua tayari anicheki watsaap--0752924807. NO JOKES AM SIRIOUS Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Unapata safari ya kikazi wiki 2 nje ya mkoa, Kabla ya kuondoka Unamuachia mkeo hela ya matumiz ya familia ndani ya nyumba sh 400,000 (laki nne), halafu unampa sh 300,000 (laki 3) akalipe ada ya...
6 Reactions
113 Replies
11K Views
Habari zenu wapendwa wa MMU, Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata...
5 Reactions
112 Replies
8K Views
Tarehe 09/07/2005 M/Mungu alipitisha shani yake ya kumtawaa mchumba wangu Kasim,baba wa Mtoto wangu Abeid (RIP Mwanaume bora wa wakati wote) Alikua ni Mpenzi ambae tulipendana sana, kiasi...
76 Reactions
178 Replies
16K Views
Habari za mida wajameni, Bila shaka wazima wa afya kwa wale wagonjwa poleni. Pia natoa pole kwa Mshana jr nimeona post kapata msiba wa mama yake, nakuombea Mungu akupe wepesi kwenye hiki kipindi...
8 Reactions
325 Replies
34K Views
Habari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia. Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA...
10 Reactions
136 Replies
24K Views
Wakuu salaam. Nimekua nikitatizwa sana na experience za maisha zaidi sana juu ya kupenda. Mara nyingi ikitokea mmoja kati ya wawili kampenda na kumuonesha mwenzake upendo wa hali ya juu, upande...
13 Reactions
105 Replies
9K Views
Heshima kwenu wana Jamvi. Kadri siku zinavyokwenda na ndivyo vijana nao wamekua na mtazamo tofauti katika suala zima la Mapenzi. Wengine wanaona ni bora uwe hata na mpenzi ambaye kiumri ni sawa...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Back
Top Bottom