If all men are the same, why do women take so long to choose one?

Hawa viumbe ukitilia maanani kwa kila wanachosema utaugua uchizi....mengine unayaacha yapite tu, ndivyo walivyoumbwa.
 
Ukisikia mwanamke anasema,"nyie wanaume wote ni sawa" wewe muulize kama wanaume wote ni sawa mbona mnachukua muda mrefu kuwachagua mnaowapenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona title yako haishabihiani na maelezo yako? Title inasema wanawake ndio wanachagua wanaume content wanaume ndio wanacjagua wanaume! Ipitie tena mkuu ulimaanisha lipi?
 
Inavyosemekana Mwanamke aloanzisha huu usemi was wanaume wote wanafanana ,, alikua nimwanamke wa kichina alotoka out na mumewe sasa wakafiks mahali kulikua na umati mkubwa wawatu ,,kitendo cha yeye kumwachs mumewe nakwenda kununua kitambaa cha kufuta jasho alivorudi akashindwa kumtambua mume wake maana wachina wanaume wengi wao wanafanana sura ,,alimtafuta weeeeeeeee bila kufanikiwa mwisho akasema "" wanaume wote nisawa.
 
hao wanafanana kwa sura sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom