General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Alhamisi ilikuwa ni kilele cha maadhimisho ya cku ya sheria nchini mi pia ni mdau wa sheria......nilikuwa nimeenda mahakama kuu..... Wakati nipo kwny viwanja vya mahakama ghafla nikastuka naitwa jina ambalo tangu nihamie mji huu zaidi ya miaka 17 cjawahi kuckia mtu akiniita hilo..... Aliniita kwa jina la baba yangu......na hii najua kabisa nilikuwaga naitwa ivo shuleni tangu primary hadi sekondari.......nikageuka......alikuwa mwanadada mmoja mzuri sana amevaa kiofisi, suruali nyeuc iliyomshika kiaina huku ikionesha yale majaaliwa ya vibastola, shati nyeupe ya kimodo na kimkoba kdg cheuc huku nywele akiwa kaziachia bila kuweka dawa lakini zimekaa kimitindo zaidi........kwa kifupi alipendeza sana, alikuwa anashuka kwny mojawapo ya hivi vi gari ambavyo mnaviita cku hizi vi bebi woka
Ckutatizwa na kule kuitwa kwa sababu mi nafanya shughuli za jamii kwa hiyo mtu kunifahamu jina hata kama mi cmjui wala sio ajabu......sasa huyu wa kuniita vile, nilicmama akanifikia akiwa ametoa tabasamu kali sana kuonesha kuwa ananifahamu......tukasalimiana halafu akanikumbusha.......tulikutana sekondari moja huko mikoa ya mbali tofauti na huu tunaoishi sasa, mi nilianza pale form one mwaka 1986 na yeye mwaka huo alikuwa form 2........nikakumbuka wakati huo yeye nilimkuta akiwa ni super star pale shuleni upande wa michezo, riadha, netball cjui utunzi wa nyimbo za matukio mbalimbali ya shule na kwa darasani ubongo ulikuwa unachaji, na mimi nikaondokea kujizolea u super star kwny kandanda nikawa mchezaji tegemeo wa shule......ivo nikaona sio vbaya nikimtongoza ili angalau tutengeneze hizi mnazoita wenyewe couple, nikaandika ka barua nikampa rafiki yangu mmoja ampelekee.....weeeeee.....alikuja amemkwida hadi pale nilipokuwa, akamsukuma yule rafiki yangu kwa ghafla sana tukapamiana wote tukaenda chini halafu yeye akaniwahi akanibana pale chini......alinishushia ngumi za fasta fasta za usoni hadi nikaona giza tupu........hizo kumbukumbu zilipita kwa haraka kichwani mwangu halafu nikamuangalia usoni.....nikaona mbona huyu hafanani kama yule, huyu aliye hapa mbele yangu mbona kawa mpole sana...!!?
Jioni ya cku hiyo tulikutana kwny hafla....tukakaa sehemu moja huku tukipiga story mbali mbali za maisha, akaja kuniambia yeye ni karani wa mahakama na ameolewa mumewe ni mwanasheria wa serikali na kwa muda wa wiki tatu alikuwa Arusha kikazi, lakini akasema hafurahii kabisa ndoa yake ambayo ina miaka 12, na hiyo ni kutokana na gubu analolipata kutoka kwa mumewe na ndg wa mumewe eti kisa hajawahi kuwazalia mtoto!!!! Tunaongea hayo kwny sherehe huku vinywaji na vitafunwa vinaendelea na mi nikawa najifanya nackitika sana kwa madhira yale huku nikimtaka kuwa mvumilivu wakati mwngne namchekesha chekesha pale ili asiwe mnyonge sana, dansi likikolea namshika mkono tunaenda kuserebuka huku nikionesha maufundi ya kusakata mayenu kama General defao vile.......hadi saa 6 akasema keshalewa sana na hawezi ku drive, kwa hiyo nimpeleke kwake ili pia nikapafahamu......kweli nikamfikisha kwake akiwa keshalegea kabisa, nikamkongoja ivo ivo hadi ndani.....sasa cjui nini kilitokea tu pale hadi shetani akafanya mambo yake hadi akatuzidi nguvu tukajikuta tunadondokea kwny sofa pale pale sebuleni tukaipasuapasua ile amri ya sita.
Baada ya kumaliza alinishukuru sana kwa kuwa eti nimempa faraja ambayo aliikosa kwa muda mrefu na anaomba niendelee kuwa mstiri wake cku zote, baada ya kumaliza taratibu zote pale kwake niliondoka kwa kuchukua bodaboda (narudia kuwaambia mi bado cjanunua gari) hadi nyumbani......ijumaa yake nilishinda najiwazia tu....yani pamoja na ubabe wake wote ule shuleni hatimae baada ya miaka 30 kupita nimekuja kumgegeda kiulani vile na anaomba tuendelee kugegedana kwa siri........ Kufikia hapo tena kwny kugegedana kwa siri nikastuka na kujiuliza.......hivi vifungu vya sheria kweli haviwezi kufanya kazi kwangu hadi nikajikuta nakamatwa hata kwa kesi ya kucngiziwa nimelawiti watoto 10 nikajikuta naishia jela kwa kifungo cha maisha jamani, mbona anataka kuniweka pabaya huyu.