Ukisikia vita ya tatu ya Dunia ndio hii

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,916
122,171
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni.
Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
 
Mi nimefikia mbali, hapo mkeo lazima ahisi kaolewa na shoga...yaani umefichwa uvunguni na huyo 'bwana' wake...
 
Watazimia wa huko uvunguni watafanya kuwatoa tuu na kuwapeleka hospital na vita itaishia hapo
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni.
Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
Hapo hakuna vita mzee maana wote wana makosa na wale wa uvunguni mwa kitanda watato na wataenda zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom