Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Kutokana na experience tosha ya maisha ya kuishi na kushuhudia wanawake walioolewa ulimwengu wa roho napenda nitoe sifa zao chache kama ifuatavyo:-
1. Hawapendi kufanyiwa matendo yampasayo mwanamke kama vile kuletewa zawadi, kubembelezwa, kutoka naye out n.k
Ukimfanyia tendo la namna hiyo mfano kutoka naye out hakika mtarudi mmekwazana. Wao hutaka kufanya kama wakiume huko mtokako.
2. Hawajali watoto wadogo. Mwanamke aliyeolewa na pepo katu hajali watoto wadogo. Mtoto wa mwaka na nusu kwake ni sawa na mtoto wa miaka 4, anaweza kumpiga kibao cha nguvu, hahangaiki kumuokoa na hatari yoyote mara nyingi sana usipokuwepo umakini mtoto ataishia umautini kama Mungu wake asiposimama kumtetea. Kinacholinda zaidi ni kwamba watoto hawa ni mali ya Mungu hivyo huwa na ulinzi zaidi.
3. Hawawezi kupika chakula kitamu kwa waume zao. Imagine mna binti wa kazi nyumbani kila siku apikapo chakula kitakuwa safi sana na mtakula sana, ila siku akipika mke tarajia sana sana tatizo kwenye chakula chumvi nyingi, wali haukuiva, mboga imeungua n.k hapa hata huwa sielewi kwanini.
4. Hawana sauti ya kike. Namaanisha natutality ya mwanamke ni mtu wa kushuka, kukiri makosa na kujirekebisha. Lakini hawa wenye spritualhusband kila jambo utakalomwambia liwe jema kwa lengo la kumshauri lazima atajikinga mapema ili asionekane mwovu, wanajiweka kwenye safe side ya mwanaume.
5. Hakika nakuambia si watu kabisa wa kufuata ushauri wa mume hata kwa dakika 5 akifanya kitu kwa ushauri wa mume huumia sana moyoni na kulipiza kwa baya. Hawa ni wanaume.
6. Pamoja na kuota ndoto wakifanya ngono na wanaume wasiowajua usingizini lakini pia ni wanawake ambao ukifanya naye mapenzi kuna hali ya kimabadiliko ya kiroho hutokea. Mfano ni wepesi kukasirika mkiwa faragha kwa mambo madogo madogo, mara nyingi uke hubadilika na kuwa mkavu kiasi kwamba utaumia wakati wa kufanya mapenzi au utashindwa kabisa, hata ukimchezea kiasi gani katu hawezi kulowana ukeni. Unaweza kushangaa uke wake umebana sana siku hiyo, au harufu mbaya sana mara baada ya kufanya mapenzi yaani ni tabia za ajabu ambazo zinakuja kimaajabu lengo la hapa mume wake wa kipepo hufanya hivi ili usilale na mke wake.
Kuna mambo mengine sana hawa watu wanakuwa nayo, kuishi nao ni vigumu sana sana.
Unaweza kuongeza sababu zingine. Nitakuwa naongeza taratibu pia.