Njia ya kuepuka kansa kwa mwanamke

Njia ya kuepuka kansa kwa mwanamke

Mzalendo39

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
881
Reaction score
1,035
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa kunyonywa sana matiti yao na kwa nguvu.
Kunyonywa Matiti kunapunguza hatari ambayo hutengeneza uvimbe ambao husababisha kansa ya matiti.
Matiti yanatakiwa yanyonywe mara kwa mara kwa kadri iwezekanvyo. Wasaidie wanawake zenu kupambana na kansa ya matiti.
Wanaume fanyeni kazi yenu nyonyeni matiti sasa, na wanawake kuweni wepesi kuachia kunyonywa.
Hii ni meseji toka wizara ya afya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya matiti.


http://www.theinsider.ug/breast-sucking-can-reduce-risk-of-cancer-survey/#.WA0Sje_TU0M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utakuwa utafiti wako binafsi.
 
Ya kutekenya

Hiyo tunaweza kujitolea endapo itatumika kama tiba, tatizo tunaweza kuingiwa wivu wakati hilo zoezi linaendelea tukaishia kukaimu nafasi zisizotuhusu.

Ntafungua center ya kutoa hiyo huduma tu! Unawahi namba kama clinic ukifika unapewa huduma tunakuandikia tarehe ya kurudi...

Kwani lazima mwanaume ndio afanye hiyo kazi? Si mabinti au wanawake wanaweza kufanya hilo zoezi?
 
Dah..... miss chagga .....Valentina .....kujeni hapa mpate kinga [emoji41] [emoji41] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom