I seems to be boring | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I seems to be boring

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mrs Mtaba, Jun 3, 2009.

 1. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello my dears Wana JF,
  Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu
   
 2. Y

  YE JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmmh?

  Mausioano yenu ya aina gani? Unaogopa kuongea pumba?
  Huyo anatakiwa kuwa mshkaji wako, unachoogopa nini?
  Hebu changamka....
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pole ndugu yangu.Umeolewa na bado unamwogopa Mr wako?
  Jiachie, hata kama ni pumba basi atakurekebisha na polepole utakuwa sawa tu.Ukijifanya bubu, anaweza akakutana na mafundi wa kuongea akakuona wewe si mali kitu!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  E bana e, mbona wamama wengi inaonekana mmekaa na mawazo ya ki-utumwa-utumwa dizaini.?

  Mi nakushauri be yourself and enjoy the self in you. Huna haja kumuogopa mtu, au ku-try harder kumfurahisha mtu. Kama mlioana kwa kupendana, alipaswa kujua ulivyo na unachopenda, sio swala la wewe tu kuhangaikia kukidhi viwango vyake daima.
   
 5. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #5
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru dada (samahani kama wewe ni kaka), ni kweli najikuta nakaa kimya kutoka na respond zake (sometimes hukaa kimya hanijibu au anaweza kunipa short answer ya kunikatisha tamaa kabisa). So kuepusha maumivu hujikuta nakaa kimya. Pengine niulize je kuna mahali (may be website) mtu huweza kupata tips how to talk to your man, how to respond to him etc.
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Bila samahani ndugu yangu... mimi ni mdada.
  Kabla ya kukupa mbinu za kuvunja ukimya wako naomba nikuulize:Kwani toka mnachumbiana hadi mnaoana mlikuwaje?Ulikuwa mkimya hivyohivyo?
   
 7. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #7
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samahani ntakujibu swali lako kwenye PM please.
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  karibu sana.
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,503
  Trophy Points: 280
  mh...

  Mrs Mtaba, uyo bwana ni mzungu au mwafrika mwenzetu? huenda labda ndo tabia yake ilivo, na tabia haina dawa?

  Au mtafutie kakinywaji atachangamka, kisha muulize kisa na maana, au mvizie kwenye mambo yetu yaleeeee...umueleze wasiwasi/hofu yako kwake

  Asante
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Women are weak naturally.....
   
 11. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #11
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilishajaribu yote hayo, tena akiwa amelewa ndo balaa zaidi you can get disappointed to the maximum ya kuchuna ngozi! Ni mtu wa tz kabisa.
   
 12. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Don't even go there!!!
   
 13. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mrs. Mtaba

  Unamiss vitu vingi kweli, jiachie mama huyo ni mumeo ndo anayejua weakness na strength zako hivyo usijaribu kuwa na mawazo ya pumba au nafaka.
  Anakupenda atakuambia tu kuwa hiki sawa hiki siyo.. Mumeo anapenda vitu gani uwe unamfanyia au kuviongelea pengine hata stori za hapa na pale kuondoka kimya cha mshindo.
   
 14. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #14
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hasemi nini anachopenda nimfanyie, nikimuuliza anazuga nakukaa kimya!
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Du!..umenishangaza kweli? mlifikiaje mpaka hapo mkaoana? Au sijakuelewa vizuri, ni boifrendi au mume mpaka umenichanganya?
  So mawasiliano yenu ni duni kwenye hiyo ndoa? Na unafahamu mawasiliano mazuri ni kitu muhimu kama siyo kizuri kwenye ndoa/mahusiano!..

  Mfanyie suprises tofauti tofauti uone anafurahi vipi kati ya hivyo!..Huyo mumeo anahitaji mtu mchangamfu na mwenye uthubutu wa hali ya juu asione ndoa ni mazoea..
   
 16. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #16
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante dadangu...ntajaribu pengine unipe hizo suprises nijaribu!
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Nasita kuendelea hapa..nitakuPM muda si mrefu
   
 18. Y

  YE JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hicho kimya kina maana. Kma sio chuji ni kwamba anamawazo na wewe unamyeyusha... we pita na upande wa khanga wakati bado mbichi umetoka kuoga. ataongea tu hata kama ana mawazo. vidume hapo umetufikisha...
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  where we dare to write openly
   
 20. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #20
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntashukuru karibu sana dada.
   
Loading...