Nitamwacha vipi huyu binti? Kadata mpaka naogopa

Nitamwacha vipi huyu binti? Kadata mpaka naogopa

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Ushauri wenu wana JF,

Kuna binti nilitokea kumtongoza toka 2010 akiwa form one akawa ananizungusha na kukubali kwa shingo upande. Sikukata tamaa kwani alikua jirani hivyo nikawa namtania kila siku kwa kumuita mchumba. Mda ulivyozidi kusonga nikaamisha penzi langu kwake bila yeye kujua kwani nilimchukulia wakawaida sana na hata kumtania nikaacha.

Masikini ya Mungu kumbe pamoja na nyodo zake alichukulia serious kua nampenda toka zamani. 2015 baada ya kumaliza cha 6 nikaenda zangu chuo basi akawa ananitafuta marakwamara nami namjibu kwa jeuri.

Alikua mshamba sana wa mahusiano kwani hata chating zake zilikua za kishamba sana. Alipomaliza cha 4 na kwenda advance huko ndiko alikwenda kubadilika kupita maelezo akaanza kutuma SMS za kimahaba kwa kuniita bby nakadhalika mimi sikujali hilo na kuendelea kumpotezea.

Kwa akili yangu haikuniingia akilini kumuacha huyu msichana miaka yote bila kumgegeda basi alipomaliza advance nikaanza mikakati ya kumtafutia 18 ya kumgegeda. Baada ya kurudi home kwao akazidisha mahaba ya kunipenda lakini upande wangu ndo kabisa sina hata time nae, nilichokua nahitaji ni malipo yangu ya kunizungusha siku zote hata sijamla basi.

Amefaulu kwenda chuo kikuu sasa alilazimisha kuja kwangu chuoni nimsaidie kuomba vyuo nami jana nimemkubalia kaja na nimemgegeda kiroho safi pamoja na hilo lakini pia nimeichomoa bikra mwenyewe japo ndomu ilipunguza asali.

Baada ya miaka 5 sasa tatizo huyu msichana simpendi kua wife wangu lakini yeye akilini anajua mimi ndo nitamuoa.

Ushauri wenu nijinasue vipi ili nimteme nae aniteme mazima. Sitaki matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wengine wanahangaika kutafuta bikira wengine wanazitoa na kuzipoteza watafutaji haohao na watiaji ni haohao mwisho wa Siku lawama kwa wanawake ooooh hamjitunzi. Hivi kulikua na ulazima gani wa wewe kumla na wakati moyo wako haupo kwake????
 
jina zuri
na ni jina la mdogo wangu kwanini ??
 
Wakati wengine wanahangaika kutafuta bikira wengine wanazitoa na kuzipoteza watafutaji haohao na watiaji ni haohao mwisho wa Siku lawama kwa wanawake ooooh hamjitunzi. Hivi kulikua na ulazima gani wa wewe kumla na wakati moyo wako haupo kwake????
Amenizungusha na kunipotezea mda acha nimle ndo malipo yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetenda dhambi ambayo haikubaliki duniani na mbinguni.

Kama vile haitoshi, unataka kutushirikisha kwenye upuuzi wako.

Hapo umejiona bonge la mjanja sio?

There is a special place for you I hell!

- KANA -
 
Back
Top Bottom