amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 453
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani, ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ?
Naomba ushauri.
Naomba ushauri.