Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,227
Habari ya mchana,
Karibuni tusikilize na kuimba wimbo wa bibi Kidude - Muhogo wa Jang'ombe pamoja na wimbo wa Ali Kiba - Dushelele......
Nimewaza.... hivi Marehemu bi kidude na Ali Kiba wangetoa wimbo remix ya Muhogo wa Jang'ombe na Dushelele sijui hilo jiwimbo lingekuwajee......
Haya tuanze.....
Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Kaditamati naapa, muhogo sitonunua
Haikuwa Maimuna, aliyekwenda ung'oa Kapata tete kuanga, na ugonjwa wa shurua Kula dori kula dori, mshindo wa sufuria Guliguli guliguli, kofia ina viua Ndiye mimi ndiye mimi, anipataye ukoa Mungu akitaka kupa, hakuletei barua Hukupa usingizini, pasi mwenyewe kujua Kwenda mbio sikupata, bure unajisumbua Mkato wake matege, wakati anapokuja Naliiweka dhamiri, ya kumfulia koja Wallahi nimeghairi, kiumbe hana mmoja Kamfunge kamfunge, beberu wa Athumani Umfunge umfunge, pahala panapo jani Endaye tezi na omo, atarejea ngamani.
Karibuni muhogo. ....
Nilimwambie asile
Ye alikula akavimba akaja
Mtoto mzuri aliyezaa
Na yule jamaa mwenye mahela
Akaniacha na njaa kwenye mataa
Yeye akaniacha nalia na mola
Ali wa leo nalia na Mola
Ona
Yule aliye kupa wewe
Ndio kaninyina mimi
Na kama riziki anatoa yeye
Basi ntakosa mimi
Ila mola ndio anayetoa
Tena kwa foleni hata kama niko nyuma
Nitapata lazima
Asile
Ana maana yule
Mimi na yule (yule)
Tulipendana yule
Ale dushelele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushele dushele waegoo ooh
Yule aliyepanda
Kwenye lile shamba langu
Hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu
Ukatanda ukungu
Kwa penzi la madhulumu
Anayetena kamtema
Alikuwa hawara
Mimi na yule (yule)
Tuliona yule
Mimi na yule (yule)
Tulifunga ndoa
Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
Madhila anayopata nikimuona namhurumia
Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawa
Mimi na yule (yule)
Tuliona yule
Mimi na yule (yule)
Tulifunga ndoa
Maji ya mapenzi aloonyesha yalifata mkondo yaakenda
Na radi ikapiga kumaanisha kuwa nilimpenda
Mimi na yule (yule)
Tupendana yule
Mimi na yule (yule)
Tulifunga ndoa
Yule
Yule
Alerakakakakakaka dushelele
Ale dushelele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushele dushele waegoo ooh
Ali wa Kitaa
Ali wa Leo
Si unaona eeh
Ale dushelele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushele dushele waegoo ooh
Happy Hump Day..
Kasie Mahaba bin Mahabat.