Nipo njia panda

Nipo njia panda

chokodari

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
1,445
Reaction score
1,242
Habari wanajamii, mwenzenu nipo njia panda kwanza nilizaa na demu ambaye tabia yake inanishinda na nikawa na demu mwingine ambaye anajua kabisa nina mtoto na anamjua demu niliyezaa naye but demu akakolea mbaya mbaka akadai nimchukue mtoto na sio siri mchezo kitandani anauweza sasa kuanzia body lake.

Hunimaliza zaidi nikiwa faragha naye kuning'ata zaidi,sasa sister wangu aligundua mchezo coz demu alikuwa amezoeana naye mbaka home anakuja but alikuwa hajui kama nafanya yangu kwa huyo demu,kuna siku wakakutana wote watatu dada, yule demu na demu niliyezaa naye sister akamwambia kama msimamo hyu ndio mama watoto wa kaka yangu,

Demu akatuliaa baadaye akahamia kishughuli mkoa mwingine akawa ananipigia simu niende na mimi nikawa sina nafasi ya kwenda ikabidi niwe nampa hope mara mwezi huu lakini sitokei namwambia kuna mambo yameingiliana ikawa hivyo kwa mda kidogo ndipo akazaa na mtu na baada ya mda nikasikia kwa watu wa pembeni aliyezaa naye amepata ajari akafariki so nilikaa mda mrefu bila kumpa hi

Kwa sababu nilijua tayari mke wa mtu kuna siku nikampa hi alivyogundua ni mimi navyoongea mbaka sasa ananiganda kinoma tuendeleze but tangu azae nimepunguza hamasa ya kumtamani but yeye ananiganda na sijamuuliza kuhusu mzazi mwenzie but nikimuangalia picha zake ananivutia ila kuzaa kwake tu kunanishusha nipo njia panda
 
Habari wanajamii, mwenzenu nipo njia panda kwanza nilizaa na demu ambaye tabia yake inanishinda na nikawa na demu mwingine ambaye anajua kabisa nina mtoto na anamjua demu niliyezaa naye but demu akakolea mbaya mbaka akadai nimchukue mtoto na sio siri mchezo kitandani anauweza sasa kuanzia body lake,hunimaliza zaidi nikiwa faragha naye kuning'ata zaidi,sasa sister wangu aligundua mchezo coz demu alikuwa amezoeana naye mbaka home anakuja but alikuwa hajui kama nafanya yangu kwa huyo demu,kuna siku wakakutana wote watatu dada, yule demu na demu niliyezaa naye sister akamwambia kama msimamo hyu ndio mama watoto wa kaka yangu, demu akatuliaa baadaye akahamia kishughuli mkoa mwingine akawa ananipigia cm niende na mimi nikawa sina nafasi ya kwenda ikabidi niwe nampa hope mara mwezi huu lakini sitokei namwambia kuna mambo yameingiliana ikawa hivyo kwa mda kidogo ndipo akazaa na mtu na baada ya mda nikasikia kwa watu wa pembeni aliyezaa naye amepata ajari akafariki so nilikaa mda mrefu bila kumpa hi coz nilijua tayari mke wa mtu kuna siku nikampa hi alivyogundua ni mimi navyoongea mbaka sasa ananiganda kinoma tuendeleze but tangu azae nimepunguza hamasa ya kumtamani but yeye ananiganda na sijamuuliza kuhusu mzazi mwenzie but nikimuangalia picha zake ananivutia ila kuzaa kwake tu kunanishusha nipo njia panda
Acha kuzingua kamchukue mrembo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
embu rudi kwa mama watoto wako.. body haikai hapo milele okey.. halafu unaandika kama wale wanaume wanaongea huku wanalamba lips
 
Mwandiko wako utafanya wengi wapate uvivu kusoma
Habari wanajamii, mwenzenu nipo njia panda kwanza nilizaa na demu ambaye tabia yake inanishinda na nikawa na demu mwingine ambaye anajua kabisa nina mtoto na anamjua demu niliyezaa naye but demu akakolea mbaya mbaka akadai nimchukue mtoto na sio siri mchezo kitandani anauweza sasa kuanzia body lake,hunimaliza zaidi nikiwa faragha naye kuning'ata zaidi,sasa sister wangu aligundua mchezo coz demu alikuwa amezoeana naye mbaka home anakuja but alikuwa hajui kama nafanya yangu kwa huyo demu,kuna siku wakakutana wote watatu dada, yule demu na demu niliyezaa naye sister akamwambia kama msimamo hyu ndio mama watoto wa kaka yangu, demu akatuliaa baadaye akahamia kishughuli mkoa mwingine akawa ananipigia cm niende na mimi nikawa sina nafasi ya kwenda ikabidi niwe nampa hope mara mwezi huu lakini sitokei namwambia kuna mambo yameingiliana ikawa hivyo kwa mda kidogo ndipo akazaa na mtu na baada ya mda nikasikia kwa watu wa pembeni aliyezaa naye amepata ajari akafariki so nilikaa mda mrefu bila kumpa hi coz nilijua tayari mke wa mtu kuna siku nikampa hi alivyogundua ni mimi navyoongea mbaka sasa ananiganda kinoma tuendeleze but tangu azae nimepunguza hamasa ya kumtamani but yeye ananiganda na sijamuuliza kuhusu mzazi mwenzie but nikimuangalia picha zake ananivutia ila kuzaa kwake tu kunanishusha nipo njia panda
Hahahahahah..... wewe ni mkongo? eti "mbaka" na kingine wewe unachokosea ni kuzaa na mademu. Tafuta mwanamke wa nguvu
 
Upo njia panda c ndio basi nisubiri hapo hapo njia panda Nakuja sasa hv kukushauri bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kuzaa kwake wewe mbona una mtoto?? Wewe ujazaa?? Wanaume hamjielewi wewe alikupokea na mtoto leo kazaa nyote mna watoto wewe waona haya?? Kha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom