Kisa cha Kuachana Harmonize na Wolper kuna Funzo Nyuma yake......

Kisa cha Kuachana Harmonize na Wolper kuna Funzo Nyuma yake......

Karimu123

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
243
Reaction score
114
Niaje Wakuuu Natumain ipo vyema kwenu Leo katika Pitapta yotube uko nimekutana na Haka kavideo ka Wolper na Harmonize ila sema twende mbele turud nyuma huyu demu anaroho ya kitajir na kingine naonaga tu Mwanaume akidate na msichana Obvious Demu nd anapataga kama cheo fulan ila hapa naona imekuwa Viceversa sema nikionacho jamaa anapenda lelewa alafa huwa wanaandika work hard pays.... naomb niseme ukwel sina Team tafadhal ila based kwenye i stor Nuktaaaaaa

 
hao wanaume wanaojiita wasafi hawana lolote .badala ya kufanya kazi waridhike na wanachopata wanapenda tu mashauzi .kumbe hata hela za kutengenezea video hawana hadi wachune wanawake.diamond anachukua hela kwa zari ,harmonize kwa sara .bora kiba anatengeneza mziki wake wa kawaida kuliko hawa wapenda sifa kumbe hata hela hawana hadi wajiuze.wolper kawaumbua sana yaani
 
never judge to any unbalanced story!waswahili husema "ukiwa unaongea bila upande mwingine unajifaidi"
atulize kipapa aka kipochi manyoya!watu mna maneno!
 
mbona hueleweki. vijana mmekuaje sijui unaandika kama mtu anaongea na mwenzake.
 
Back
Top Bottom