choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
Za asubuhi wadau wanajukwaa.
Kwa takribani miezi kadhaa toka mwaka huu uanze nilikua na mahusianao ya kimapenzi na mrembo mmoja hapa mjini, ambapo wakati penzi linaanza lilikua tamu kiasi kwamba nikajiona natawala dunia yaani Trump ni kama secretary wangu lol.
Sasa as usual baada ya muda kupita penzi likashamiri akaanza kujiona ameniweka mfukoni na kuanza visa sijui kama alikua serious au alikua anatania, tukikwazana kitu kidogo anaishia "the door is open" sentensi ambayo ilikua inaninyima raha sana nikawa nakausha tu labda utani.
Ikawa ndio hivyo penzi likaanza visa na revenge za hapa na pale mpaka moyo wangu ukapasuka akatoweka kabisa.
Wiki kadhaa zilizopita tulizinguana kidogo akarudia maneno yake hapo ndipo alielewa maana ya choupa moting maana nilimpa makombora ya Korea Kaskazini mpaka akashangaa ndio yule ambaye nilikua namshika mpaka sharubu au ni mwingine.
Sasa ngoma imehamia kwake, baada ya kumpiga chini akadhani natania mwisho wa siku anaona siku zinakata sina time nae nafanya yangu simpigii simu wala SMS wala salamu yake sina haja nayo mi nafanya yangu.
Amebaki akipiga simu na SMS za kila namna kila wakati mi sina time nazo nafanya yangu na maisha yanaenda kama kawaida. Amefikia point anaiuliza "wewe mwanaume gani hujui kusamehe unaona raha mi nikipata taabu"
Anaomba sana msamaha amefikia mpaka kupitia kwa washikaji zangu ili wanishawishi mi sina time nawaambia kama wanamtaka waendee nae mi sirudiagi matapishi. Kwa kweli anatia huruma, naskia huko kazini kwao hata kazi haziendi analialia tu kila time.
Angalizo: Wadada msifanye msiyoyaweza mwisho mnatia huruma tu.
Choupa moting.