Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Habari za muda huu mates,
Tusipoteze muda, ni hivi, muda kidogo nyuma nlikuwa muajiriwa wa taasisi fulani hivi na mshahara wangu na wa mke wangu ukichanganya ulikuwa ni around 900,000/ (NET). Mungu akajaalia mwanaume nikalamba Joker, nikapata ajira mpya lakini kijijini, mbali kdg na town. Makazi huko huko na mshahara wangu ukafika 2.4M (Gross) kabla ya bonus.
Sasa hivi NET yetu ni 2,000,000/ (mimi na yeye). Nikifikia target nilizowekewa nategemea kupata bonus ya around 10M mwisho wa mwaka. Wakati tunataka kuhamia huku shamba (kazi mpya) nilimueleza disadvantage zake kwamba ntakuwa sina muda, majukumu yatazidi sana kwa hiyo nivumilie na other disadvantage na tukakubaliana.
Mimi ni mtoto wa kimaskini nimesoma kwa shida wazee wangu wananitegemea na namshukuru mungu sasa hivi wanakula good time. Sasa hivi karibuni mke wangu amebadilika kidogo anadai sina muda na yeye.
Kila saa nafanya tu kazi, muda wa kurudi job ni saa tatu kuendelea japo katikati ya siku mara kwa mara narudi home hususan weekend akiwepo.
Lawama zimezidi na binti hana raha, nifanyeje? nampenda mke wangu kinoma, akilia naumia mimi akinuna sina raha. Hapa nilipo amelala mimi nipo na nyinyi hapa sijiskii njema.Povu sitaki, leteni ushauri wa kijitu kizima, huwezi kausha