netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
Habari za muda huu marafiki zangu ...nipo mbele yenu kuwasilisha yaliyonitokea leo ..mimi ni msichna wachuo fulani apa tanzania nasomea shahada fulani..ninampenzi wangu apa chuon tupo kweny mahusiano kama mwaka umeisha sasa chaajabu kumbe anamwanamke mwingine nyumbn yani wanaumee jmn mda wote nipo nae kumbe anamwanamke toka kitambo nakwao walishafika mimi tyuu ndo sijui sa leo katika pekua yangu si nikaona sms da niliumia sanaa ivi ninavosema tumeachan naninaumia sana ...wito jmn wanaume mkipendwa pendweni mnatuumiza sisi jmn