Mganga kaniambia nina nyota ya nzige,nitaendelea kupigwa mizinga mpaka uzeeni

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Katika jitihada zangu za kwenda kujilinda na wale wanaotumia madawa ya kututeka sisi wanaume,nimekutana na dhahama nyingine ya hiyo nyota ya nzige.
Nimeambiwa nitoe laki nne ili nifanyiwe tambiko,hapa kichwa nakiona kinakolea moto
 
Hivi bado karne hii unaenda kwa mganga na una muamini, utapigwa bure hiyo hela bora ungewapa wazazi yako
 
Hukumsikia vizuri mkuu; Alikuambia una nyota ya panzi sio nzige. Nyota ya panzi yaani ya senene. Macho yako ni makubwa kuliko akili yako weye. Duh! Sikujua kuwa siku hizi kuna waganga wasema kweli.
Upeleke laki 4 utahonga nini tena?? Usikubali mkuu, huenda amekuonea wivu kwa kale kasichana kalikoingia chumba cha pili kwa nyumba unayoikaa. Mhonge kwanza huyu, baadaye rudi kwa mganga atakuambia umebadili nyota sasa una nyota ya kunguru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom