Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamvi namshukuru Mungu kwa uzima huu nilionao natoa mtazamo juu ya uhalisia wa maisha ya ndoa! Wengi wanaingia kwa kubipu ila hawajadhamiria,iweje uoe Leo hata wiki haifiki unafumaniwa ?hebu...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna huyu mdada single mother, ana watoto wawili. Nimekuwa naye for a while mwezi ujao tungefikisha miaka 2. Ukweli huyu dada nilimkuta na hali mbaya sana kiuchumi. Lakini uzuri wake uliweza...
4 Reactions
103 Replies
8K Views
Nauliza hivi kwa vile naona ni wanawake zaidi ndio ving'ang'anizi ktk mahusiano. Ni utam wa uroda, hofu ya kuishi peke, kufuata mali, mkumbo, au ni janga tu la asili? Wajuzi nifahamisheni
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kumekuwa na hija nyingi sana kwenye thread zinazohusiana na mahusiano na michango mingi kuwa wasichana walio wengi kuwa hawawezi kumpenda au kujenga uhusiano na mwanaume kama hakuna kitu...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Awali nilikuwa naambiwa, lakini baadaye nikaja kuhakikisha kwamba Wanawake pindi wawapo wajawazito huwa wasumbufu saana, na wanadeka ajabu! Mwanamke mmoja akaja kunambia kwamba huwa wanafanya...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Je unaweza vumilia kuendelea kupiga mashine ikiwa mwenza wako amevuruga hali ya hewa? (hii haiwahusu waruka ukuta aka 0713). Kwa mimi kiukweli lazima mkono wa mtoto unywee maana raha ya penzi ni...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Wakati mwingine sio lazima uwe mwanaume goigoi kitandani ndio mpenzi wake aamue kuchepuka hapana muda mwingine inaweza ikawa kila mnapokutana licha ya kuwa na nguvu na mashine ya kutosha unakuwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya tathmini yangu kuhusu jamii yetu nimegundua kwamba kuna matatizo mengi sana ambayo mengi chanzo chake ni kukosa mapenzi ktk kwa Wazazi utotoni. Watanzania wengi wanalelewa bila...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam, Mimi binafsi siwezi Kumwambia mwanamke (demu wangu au pia rafiki wa kike) direct kuwa "SINA HELA" ( ninapokuwa sina ya kumpa) ,Bali nitatumia maneno mengine mengine ya mkato ya moja kwa...
3 Reactions
71 Replies
11K Views
Mwanaume unapomtongoza mwanamke 100% unakuwa unategemea nini kutoka kwake? Maana naonaga 100% wanaume wenzangu wanatongoza wanawake wanakuwa wamewatamani tuu wanahitaji ngono tuu, sasa naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu, Asubuhi nilikuwa nikiangalia Clouds tv nikamsikia Sam Sasari akimsimulia Baby Kabah, eti msichana wake alimpiga chini kisa yeye ni mfupi na mweusi. Kilichonishangaza ni...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wana JF! Kama ilivyo ada leo naomba ni ku-share nanyi hiki kidogo ambacho nimekiona sana kwenye jamii inayotuzunguka. Kuna baadhi ya watoto/wazazi ndani ya famila zetu wamekua na tabia...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Material women lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe. Ukiona mwanamke ana wivu na wewe, anakufuatilia mambo yako, uko wapi, umekula...
14 Reactions
77 Replies
15K Views
Kwa wale magentlemen wenzangu hakika nawashauri hawa viumbe wanaoitwa wasichana sio wa kucheka nao kabisa hao ni kuwafanyi a tu one mistake one goal . 1: ukiwa na msichana(Mpenzi) wako unampenda...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa mlio na uzoefu wa mambo haya naomba maoni yenu, je? Mahusiano ya kimapenzi yanaweza kudumu bila sex kwa mda mfano miezi 6 na kuendelea kutokana na umbali baina yenu. Na pia uaminifu unaweza...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna mwana saikolojia mmoja anasema "usipende kutendewa bari penda kuwatendea" usipende kufanyiwa bari wafanyie"usipende kupokea bari penda kutoa"Back to point Wanawake wengi wa ki bongo wao...
13 Reactions
60 Replies
6K Views
Muda mrefu ni kuongea na simu na mama yake. Inafika wakati hata mama yake anamtumia hadi fedha za matumizi. Hii si kunidhalilisha?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hellow, Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25. Lengo kubwa kua na muda mwingi wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Jambo la kuwa na akaunti moja kwa wanandoa limezua mijadala sana. Je, kuna umuhimu wowote kwa wanandoa kuwa na akaunti moja ambayo wanaweka fedha zao zote? Wengine kila mmoja anakuwa na yake...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Habari zenu wana jamvi... Ndugu yenu nimekuwa kwenye mahusiano na mtoto wa mwenye nyumba apa nnapopanga ila demu mwenyewe anakaa chuo. Wiki mbili zilizopita baba mwenye nyumba alimwajiri...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…