Baada ya kupost huo mkasa wangu juu ya Mchungaji kumpa ukimwi mchumba angu nimepata majibu mengi kuwa nimepika story.
Sasa Iko hivi Mimi ni MKRISTO KAMILI NILIYEPOKEA KIPAIMARA na UBATIZO katika...
Niliwahi kuleta uzi hapa ' Ulikua ni ufahari wa kijinga lakini ni kumbukumbu yenye kisisimua'. Nikielezea namna gani miaka ile tulipokua kwenye early 20s mpaka early 30s eti kuwatokea madem wakali...
Ujumbe murwa kabisa kwa kina baba fulani na kina mama fulani, malezi bora hayanunuliwi hutengenezwa na walezi/wazazi, kumnunulia mtoto nguo za thamani, michezo, shule za gharama hazitoshi...
What do you do if they give you their number and ask you to call them or text them? What if they ask for yours? Do you give it? It’s really your personal preference. It really depends how...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
hii ni story ya kweli ambayo imenitokea mimi mwenyewe beira aka nanyupu boy
Iko hivi wakuu katika jukwaa nilikuwa na msichana wangu ambaye anafanya kaz bank...
Nakumbuka kipindi cha ujana wangu kabla sijapata mwenzi wa maisha nilikua na katabia kakuzira na kujifanya kiburi; kila nikikosewa nasema tuachane najua lazima mshkaji atajirudi; siku moja...
Hello! Jf members
*TUMIA VIZURI USO NA MACHO YAKO UNAPOKUWA UNAONGEA NA MTU*
```Mawasiliano ni moja kati ya vitu mhimu sana katika maisha ya kila siku, ni vigumu kuishi bila kuwasiliana, iwe...
Habari wana jamvi la JF!.
Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba...
Habari ya jumamosi wakuu.
Naomba niwapongeze wanaume mlio kwenye ndoa, mlio oa wapenzi au wachumba wenu.
Nawapongeza zaidi hasa wale mlioweka nadhiri kwa wapenzi wenu na mtaitimiza hiyo nadhiri...
Habari wandugu
Mwanaume mashine..
Sote tunafahamu kuwa UANAUME wetu unakamilishwa na kitendea kazi.
Kuna jambo moja japo cc tuna lions ni dogo lakini ki uhalisia sio dogo na tumekuwa tukilitenda...
Mama mmoja anayemfahamu anasikitika aliposikia kaolewa maana anadai alikuwa kwenye target za familia yao wangechelewa hao jamaa wao wangemuwahi. Sababu tabia muonekano na mwenendo wake wa siri na...
Habari za Jumamosi Ndugu zangu!, Ni tumaini Langu kuwa wote mko vema!
Bila kupoteza leo nakuja na Mada ya kujenga Hasa kwa sisi vijana yaani wake kwa waume!
Kwa Dada zangu!
Kama unampenda...
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa anaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe...
Hii tafiti inayosema wanawake duniani wapo wengi kuliko wanaume huwa naipinga kwa nguvu zote
Katika sehemu zote nilizopita iwe shuleni, nyumbani ,mtaani ,barabarani , chuoni, mpaka kumbi za...
Habarini ma friends,
Natafuta. Msichana anaefaa kuwa mke wa mtu. Anayejitambua. Anaejieshimu. Umri 18-21 dini yoyote. Asiwe Mmbuli Mrangi wala Mnyaturu. Me umri wangu 25. Kama yupo anicheki...
Kutokana na wengi wa 'single mamaz' kuishiwa 'kubungunyuliwa' na vidume na kuishiwa kuachwa kwa kisingizio cha kutokuwa tayari kulea watt wa vidume wenzao,single mama huyu akaamua kukata shauri...
Ni saa 1825 naingia getini napaki gari (wale ambao mtu akisema ana gari mnakereka mnisamehe) kabla sijashuka Tatyana ashafika mlangoni anataka kufungua mlango!
Huyu ni mtoto wa msaidizi wangu wa...
Hayawi hayawi leo yamekua!!!! Kwa wale wenye vibamia,msikate tamaa ila mjue namna ya kuvitumia. Nipo na Dadaangu wa hiari hapa tunapata moja bridi moja muotoo!!! Story za hapa na pale tukafikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.