Maneno ambayo siwezi kumwambia mwanamke....

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,928
Reaction score
2,726
Salaam,

Mimi binafsi siwezi Kumwambia mwanamke (demu wangu au pia rafiki wa kike) direct kuwa "SINA HELA" ( ninapokuwa sina ya kumpa) ,Bali nitatumia maneno mengine mengine ya mkato ya moja kwa moja au ya indirect ili kufikisha ujumbe kuwa hatapata/asitegemee kupata hela kwa wakati ule.

Mi naamimi katika njia moja ama nyingine kuwa viumbe hawa/ndege hawa wanapojua kabisa kuwa huna hela wanaweza wakapeperuka ghafla na wakarukia kwenye miti mingine.

Je wewe unaweza kumwambia 'dem' wako kuwa huna hela? Kila mara? Na wewe mwanamke ukiambiwa huna hela huwa unamuonaje huyo mwanaume wako? Funguka.
 
Sizonje alegeze kamba kidogo..watu hawana dola
 
kwanza huwa namfanya rafiki, alafu utani mwingi sana.
nikiwa sina kitu namwambia kama utani ila ndo ivo hapati kitu.ila nikiwa nazo (nikizidaka) huwa nahakikisha kila hitaji lake anapata mpaka anasahau kama huwa nafulia(ga)
 
Unampatiaga sana aise! Kwa njia hii atakuelewa tu
 
Dah hiyo kazi ya kuanza kutafuta maneno siiwezi aisee..

Mi namueleza mubashara...aelewe asielewe burudani tu.
Nadhan pia huwa unamwangalia na macho makavu unavyomwambia [emoji4]
 
Muda mwingine Namuelezea hali halisi tu kuwa mambo hayajakaa sawa, na nashukuru ni muelewa ananielewa... Haina haja ya kusema uongo na kujifichaficha....Mapenzi ya kweli ni zaidi ya pesa na kukosa pesa isiwe ndio chanzo cha kudharauliwa na kukosa thamani kwa mpenzi wako...

W
achache sana mtanielewa
 
kwanza huwa namfanya rafiki, alafu utani mwingi sana.
nikiwa sina kitu namwambia kama utani ila ndo ivo hapati kitu.ila nikiwa nazo (nikizidaka) huwa nahakikisha kila hitaji lake anapata mpaka anasahau kama huwa nafulia(ga)
Good
 
Napenda sana mpenzi wangu aniambie ukweli ili awe na amani na mimi nisimuongezee mzigo, napojua kuwa hana kwa kipindi hicho hata niwe ninashida ya namna gani siwezi kumweleza maana nitamuumiza kulingana na hali yake nitapambana kwa nguvu zote. Ukweli umeweka mtu huru mahali popote sio kwenye mahusiano tuu. Kuwa mkweli uwe huru na uishi kwa amani.
 
Unampatiaga sana aise! Kwa njia hii atakuelewa tu
anaelewa sana nashukuru, Maana nilisha mwambia maisha ya kuunga haya shida ya pesa kubwa kubwa isemwe siku 2 kabla mambo ya kuombwa laki kwa kushtukiza atakuwa analala ma viatu.

amesha elewa, pia nisipo mpatia siku iyo lazima anitanie (ananiita chogo ndingo leo huna kitu najua ukipata utanikumbuka). inanipaga mzuka wa kutafuta mkwanja kuona naaminiwa
 
Mkuu Hongera kwa kuishi na mtu wako vizuri, wengine tukiwa hatuna maneno yanaanza kichinichini na reactions zinabadilika
 
Muda mwingine Namuelezea hali halisi tu kuwa mambo hayajakaa sawa, na nashukuru ni muelewa ananielewa... Haina haja ya kusema uongo na kujifichaficha....Mapenzi ya kweli ni zaidi ya pesa na kukosa pesa isiwe ndio chanzo cha kudharauliwa na kukosa thamani kwa mpenzi wako...

W
achache sana mtanielewa
Mkuu Jose nimekuelewa zaidi, inabid pia uwe na mwenza muelewa maana wengine wanakuonaje sijui ukiwaambia huna
 
Napenda sana mpenzi wangu aniambie ukweli ili awe na amani na mimi nisimuongezee mzigo, napojua kuwa hana kwa kipindi hicho hata niwe ninashida ya namna gani siwezi kumweleza maana nitamuumiza kulingana na hali yake nitapambana kwa nguvu zote. Ukweli umeweka mtu huru mahali popote sio kwenye mahusiano tuu. Kuwa mkweli uwe huru na uishi kwa amani.
Vizur Ney kama huwa unaelewa hali ya kimaisha ya mpenzi wako kwamba kuna kuwa nayo na kuto-kuwanayo kwa baadhi ya nyakati
 
Back
Top Bottom