Kumekuwa na hija nyingi sana kwenye thread zinazohusiana na mahusiano na michango mingi kuwa wasichana walio wengi kuwa hawawezi kumpenda au kujenga uhusiano na mwanaume kama hakuna kitu...
Awali nilikuwa naambiwa, lakini baadaye nikaja kuhakikisha kwamba Wanawake pindi wawapo wajawazito huwa wasumbufu saana, na wanadeka ajabu!
Mwanamke mmoja akaja kunambia kwamba huwa wanafanya...
Je unaweza vumilia kuendelea kupiga mashine ikiwa mwenza wako amevuruga hali ya hewa? (hii haiwahusu waruka ukuta aka 0713).
Kwa mimi kiukweli lazima mkono wa mtoto unywee maana raha ya penzi ni...
Wakati mwingine sio lazima uwe mwanaume goigoi kitandani ndio mpenzi wake aamue kuchepuka hapana muda mwingine inaweza ikawa kila mnapokutana licha ya kuwa na nguvu na mashine ya kutosha unakuwa...
Nimejaribu kufanya tathmini yangu kuhusu jamii yetu nimegundua kwamba kuna matatizo mengi sana ambayo mengi chanzo chake ni kukosa mapenzi ktk kwa Wazazi utotoni.
Watanzania wengi wanalelewa bila...
Salaam,
Mimi binafsi siwezi Kumwambia mwanamke (demu wangu au pia rafiki wa kike) direct kuwa "SINA HELA" ( ninapokuwa sina ya kumpa) ,Bali nitatumia maneno mengine mengine ya mkato ya moja kwa...
Wakuu heshima yenu,
Asubuhi nilikuwa nikiangalia Clouds tv nikamsikia Sam Sasari akimsimulia Baby Kabah, eti msichana wake alimpiga chini kisa yeye ni mfupi na mweusi.
Kilichonishangaza ni...
Habari wana JF!
Kama ilivyo ada leo naomba ni ku-share nanyi hiki kidogo ambacho nimekiona sana kwenye jamii inayotuzunguka.
Kuna baadhi ya watoto/wazazi ndani ya famila zetu wamekua na tabia...
Material women lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe. Ukiona mwanamke ana wivu na wewe, anakufuatilia mambo yako, uko wapi, umekula...
Kwa wale magentlemen wenzangu hakika nawashauri hawa viumbe wanaoitwa wasichana sio wa kucheka nao kabisa hao ni kuwafanyi a tu one mistake one goal .
1: ukiwa na msichana(Mpenzi) wako unampenda...
Kwa mlio na uzoefu wa mambo haya naomba maoni yenu, je? Mahusiano ya kimapenzi yanaweza kudumu bila sex kwa mda mfano miezi 6 na kuendelea kutokana na umbali baina yenu. Na pia uaminifu unaweza...
Kuna mwana saikolojia mmoja anasema "usipende kutendewa bari penda kuwatendea"
usipende kufanyiwa bari wafanyie"usipende kupokea bari penda kutoa"Back to point
Wanawake wengi wa ki bongo wao...
Hellow,
Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25.
Lengo kubwa kua na muda mwingi wa...
Jambo la kuwa na akaunti moja kwa wanandoa limezua mijadala sana.
Je, kuna umuhimu wowote kwa wanandoa kuwa na akaunti moja ambayo wanaweka fedha zao zote?
Wengine kila mmoja anakuwa na yake...
Habari zenu wana jamvi...
Ndugu yenu nimekuwa kwenye mahusiano na mtoto wa mwenye nyumba apa nnapopanga ila demu mwenyewe anakaa chuo.
Wiki mbili zilizopita baba mwenye nyumba alimwajiri...
Kuna wasichana wanafikiri maisha yao yataanza pale watakapoolewa. Unakuta mdada yupo tu wala hana malengo yoyote na maisha yake, mradi anafanya kazi basi yeye ni kula na kuvaa tu. Maisha unaanza...
hello evelyone.
thank for your reading this, i wanting to tell my story of the girl i loved very much in the back days.
she was beauty then evelyone wanted her for being girlfriend. but she...
Dada zangu jamani tuoneeni huruma kaka zenu tupo kwenye swaum yani leo kila ninapopita nakutana misambwanda ya hatari.
Wakati napanda gari tegeta kwa ndevu nimekutana watoto wazuri wamevaa zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.