Sam Sasari wa Clouds fm is real gentleman

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Wakuu heshima yenu,

Asubuhi nilikuwa nikiangalia Clouds tv nikamsikia Sam Sasari akimsimulia Baby Kabah, eti msichana wake alimpiga chini kisa yeye ni mfupi na mweusi.

Kilichonishangaza ni kuwatangazia watanzania madhaifu yake yaliyosababisha aachwe na dem wake, hii i tofauti kabisa na wanaume wengi ambao hugeuka mbogo pindi wakiambiwa ni wafupi au weusi iwapo wanachukizwa na hali hizo, big up sasari. Wanaume wote tujikubali jinsi tulivyo tutaishi kwa raha sana.
 
Atapata mrembo mkali. Warembo wana tabia ya kuona huruma. But kikweli wanawake huwa hawatambui wanataka nn maishani. Wanasahau hakuna mwanaume mwenye kila watakacho.
 
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea.:D:D:D
 
Atapata mrembo mkali. Warembo wana tabia ya kuona huruma. But kikweli wanawake huwa hawatambui wanataka nn maishani. Wanasahau hakuna mwanaume mwenye kila watakacho.
alishaoa kitambo.ila jamaa alikuwa zoa zoa sana pamoja na kibamia chake kuna limama alikuwa anatembea nalo nalijua aache uongo
 
Huyo mtangazaji lazima awe muongo ili awavutie wasikikizaji au we mgeni ???
 
Wakuu heshima yenu,

Asubuhi nilikuwa nikiangalia Clouds tv nikamsikia Sam Sasari akimsimulia Baby Kabah, eti msichana wake alimpiga chini kisa yeye ni mfupi na mweusi.

Kilichonishangaza ni kuwatangazia watanzania madhaifu yake yaliyosababisha aachwe na dem wake, hii i tofauti kabisa na wanaume wengi ambao hugeuka mbogo pindi wakiambiwa ni wafupi au weusi iwapo wanachukizwa na hali hizo, big up sasari. Wanaume wote tujikubali jinsi tulivyo tutaishi kwa raha sana.
Kasimulia sababu ya kuachwa. Je alikwambia reaction yake baada ya kuachwa kwa style hio?
 
Back
Top Bottom