Miaka ya sasa ukiwa na mwanamke zaidi ya mmoja wewe kutoka kimaisha ni ngumu

Sep 13, 2017
52
21
Mwanaume unapomtongoza mwanamke 100% unakuwa unategemea nini kutoka kwake? Maana naonaga 100% wanaume wenzangu wanatongoza wanawake wanakuwa wamewatamani tuu wanahitaji ngono tuu, sasa naomba kuwaambia vijana wenzangu huo sio ujanja ni upumbavu.

Ujanja ni kuwa na mwanamke wako mmoja anayejitambua kingine miaka ya sasa ukiwa na wanawake zaidi ya mmoja wewe kutoka kimaisha ni ngumu sana maana 89.7% wanawake wa sasa hawana ndoto za kuolewa wapo kimaslahi zaidi.

Badilikeni jamani
cb7a8e3acff61660d3cf4fb6df933c19.jpg
 
Back
Top Bottom