Na mama yake akimpaga hela anaziingiza kwenye bajeti yenu bila shida?Sina kipato cha kusema ni cha juu sana lakini kwa maisha ya kawaida kinatosha. Hatuwezi kulala njaa au kukosa mavazi
Basi kuna shida mkuu, kama baba hujui kuna hela zinaingia na zinavyotumiwa kuna shida.Wala huwa siioni
Kuna ZoGo Unaundiwa Mkuu Shituka Hamna Combination Mbaya Kama Mtu Anayeitwa Mke Na Mama YakeMuda mrefu ni kuongea na simu na mama yake. Inafika wakati hata mama yake anamtumia hadi fedha za matumizi. Hii si kunidhalilisha?
Upo sahihi mkuu. Mawasiliano ya Siri Siri kati ya dada/mama + binti yake kwa sehemu kubwa huwa ni mipango ya kumtenda mume.Kuna ZoGo Unaundiwa Mkuu Shituka Hamna Combination Mbaya Kama Mtu Anayeitwa Mke Na Mama Yake
1. Itakuwa Hizo Pesa Kuna Plan Wanazifanya May Be Kujenga Kimya Kimya Dhen Zik Tik Unapigwa Chini
Mkuu nakupa Dedication Ya Wimbo Wa RayVany "Shituka Unaibiwa"
"NeVeR_sAy_NeVeR"
Aise ni kweli wanajenga yey na mama yake, ndo napata taarifa ili hali baba mkwe yupo na hajui. Baba mkwe yupo Shinyanga muda sasa na huyu mpenzi wangu anasema ni muda mrefu umepita hawajawasiliana hata na mama yake mzaziKuna ZoGo Unaundiwa Mkuu Shituka Hamna Combination Mbaya Kama Mtu Anayeitwa Mke Na Mama Yake
1. Itakuwa Hizo Pesa Kuna Plan Wanazifanya May Be Kujenga Kimya Kimya Dhen Zik Tik Unapigwa Chini
Mkuu nakupa Dedication Ya Wimbo Wa RayVany "Shituka Unaibiwa"
"NeVeR_sAy_NeVeR"