Wanajamvi namshukuru Mungu kwa uzima huu nilionao natoa mtazamo juu ya uhalisia wa maisha ya ndoa!
Wengi wanaingia kwa kubipu ila hawajadhamiria,iweje uoe Leo hata wiki haifiki unafumaniwa ?hebu tuwe serious, iweje uoe Leo mwezi tu umuone mwenzio sio mzuri ?tuwe serious, iweje uoe Leo mwaka tu ndugu waseme umeoa mwanamke hazai ?tumshirikishe Mungu !
We live once in lifetime ,no second chance so,tuishi kulingana na Muda ,wengi wanataka kuishi kama alivyokuwa single bila kujali kuwa ukishaoa au kuolewa unatakiwa kuwa kama baba au mama wa familia.
Nini mwongozo wa kutunusuru toka huku?
Ni uvumilivu,kujitambua na kujiheshimu,huu utashi tutaupata tu tukishamjua Mungu!wewe ambae unawaza kumuacha mwenzio usimwache tena same he badilika na muenjoy maisha ,
wengine wanasema nimuache nipumzike,hapo utakuwa unajidanganya kumbuka kuna MAMILLIONI YA MAMIAKA YANAKUSUBIRI YA KUPUMZIKA KABURINI