Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,803
Dada zangu jamani tuoneeni huruma kaka zenu tupo kwenye swaum yani leo kila ninapopita nakutana misambwanda ya hatari.
Wakati napanda gari tegeta kwa ndevu nimekutana watoto wazuri wamevaa zile jeans zao za kubana makario yani hatari tupu nikamlaani shetani nikaelekea mwenge yani apo ndo kabisaa mabinti wamevaa ovyo hatari hata wale waliovaa hijab zinaonyesha adi pichu uko ndani zina mipasuko ya kutosha manyonyo waziwazi mpaka nikajiuliza leo shatani kafungwa minyororo au kasahaulika nini jamani dada zetu na mama zetu mtuonee huruma watoto wa wanawake wenzenu tumefunga. Ramadhan njema