Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Ndugu yangu kipenz analazimishwa kupeleka mchumba nyumbani na aolewe sababu kubwa ni amelelewa sana na ndugu hivyo wengine wanataka aolewe kwa nia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za humu ndani? Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta MKE MGUMBA Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 48 Nimejitokeza hapa kutafuta MWANAMKE MWENYE KUSHINDWA KUPATA MTOTO AU...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa sababu shetani kweli yupo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiufupi tuu miaka ya sasa vijana ni tofauti na wa zamani labda ni kutokana na kuongezeka kwa technologia na wengi wanakwenda shule au pengine ni wachache ambao nakuwa na urafiki nao. Miaka ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanna jf natafuta marafiki wa kike wanaojielewa na kujitambua anayefikiria future anayempenda Mungu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical. Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita wauza...
12 Reactions
69 Replies
11K Views
what do love mean to different people? every single person come out with his or her own definition of love according to impact fallen up on him or her, there we are and how we see as secret of...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam wana jf Mimi ni miongoni Mwa vijana tunaopambana na hali zetu kwa kujiari kupitia biashara ndogondogo zinazotuwezesha kupata riziki japo kwa nguvu kubwa. Mwaka 2015 nilihitimu...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Kweli nimeamini haya maneno. USTAARABU ANZA UTOTONI UKIANZA UKUBWANI UTAISHIA NJIANI. Rafiki yangu wa damu kabisa, ninavyosema wa damu namaanisha kuwa ni rafiki ambae nimeshibana na tumeshibana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili tukio limenihuzunisha sana kwa kweli. Kuna mwanamke alienda kwa mganga wa kienyeji ili kupunguza nguvu za kiume za mume wake kwa sababu jamaa alikuwa ana nguvu kuliko hata simba dume. Jina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu jf members! Kati ya vitu adimu tulivyojaliwa wanawake ni hali ya kuficha hisia katika mambo ya mahusiano, iwe kupenda,ham ya kusex, siku zote ni vigumu msichana kumtamkia mvulana kuwa...
36 Reactions
161 Replies
16K Views
Wanaume wenzangu wenye vipato vikubwa, vya kati, na vya kawaida, tupeane mbinu za kukabiriana na wanawake wa aina hii, maana wanajiamini sana, wasumbufu baadhi Yao huko katika ndoa ni wababe Kama...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nategemea kufunga harusi mwezi November katikati, nina group la whatsapp kwaajili ya kuhamasisha ndugu na marafiki kuchangia harusi. Kila siku mimi ndio nimekuwa nikituma sms za...
1 Reactions
45 Replies
25K Views
Daaahh! Kuna kipindi naona mi ni kama nina damu ya kunguni naishi kama mende tu chooni sitakiwi, nyumbani stakiwi. Kila sehemu nina lawama wamenichoka. Haya mambo yamefikia hatua yananifanya...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
Jamaa mmoja kutoka Kenya amabaye ni mwandishi alijifanya Mzungu kwenye Tinder ile aone vile wanawake watakavyompokea. Walijileta kwa wingi. ======== When it comes to the dating market, not all...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
WONDERS SHALL NEVER END These 3 gals found out that they have been impregnated by the same man and what they did is to regroup for a group photo. They shared this pic on their instagram pages...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati wa faragha kufurahia tendo. Bali nazungumzia kujiachia kwa bahati mbaya ama makusudi na kutojali ama kuzingatia ni idadi ngapi ya watu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwangu kipindi ambacho kilinivutia sana ni kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Marekani. Ni pale Obama akiwa katika kampeni kwenye moja ya majimbo kugombea duru ya pili ya uraisi...
16 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu, Nachukua break kidogo kuchangia hapa.Mitihani yangu ya mwisho imenibana sana,Inanitoa Jasho.Nimejaribu kutenga muda kidogo wa kuchungulia humu ,Jukwaa la siasa,Uchumi,jukwaa la kimataifa...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno ngoja niende moja Kwa moja katika mada. Baada ya kusikia masifa kibao kutoka Kwa watu nbali mbali kuhusu mabintiW a kitanga na hatimaye leo...
5 Reactions
171 Replies
16K Views
Back
Top Bottom