Wanawake wenye kipato kikubwa

Wanawake wenye kipato kikubwa

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,267
Reaction score
12,736
Wanaume wenzangu wenye vipato vikubwa, vya kati, na vya kawaida, tupeane mbinu za kukabiriana na wanawake wa aina hii, maana wanajiamini sana, wasumbufu baadhi Yao huko katika ndoa ni wababe Kama babazao.

Baadhi wana dharau, tena sio kitoto, pia kuwaokoa, kutokana na jeuri zao za pesa na elimu zao wengi wamekuwa wakipata wanaume wanaofanana nao, tofauti inakuwa ni jinsia tu, ( samahani Kama kuna ninayemkera).

Nina maana hata wanaume wanaomiliki wanawake wenye vipato vikubwa wana walakini flani hivi ni mbinu gani zitumike kwa mwanaume mwenye kipato cha kawaida aliye katika mahusiano/ ndoa na mwanamke aliyemzidi kipato bila kuwepo ile.

Dhana ya mwanaume ndio kila kitu wanawake wana plan za ajabu juu yetu, unagundua Hilo wakiwa pekeyao wanatujadili wakidhani hakuna anayeskia hata wao wanatuwekea vikao si vibaya na sisi tukajadili mbinu mpya za kwenda nao sawa.
 
tafuta tu hela ndugu yangu uwazidi kipato vinginevyo tutakudanganya maana kama ameshindwa kuku heshimu kwa utu wako na matendo yako unazani nini kitakacho kufanya ueshimike
 
Inawezekana vipato duni ndio sababu ya wanawake kua submissive kwa wanaume? Labda ndio maana wanawake wa kizungu(Western Europe) hua hawa fall kwa kuringishiwa gari au nyumba au pesa maana na yeye anavyo, wako very independent, verse zako tu kwenye kuimbisha
 
Wanawake wenye kipato kikubwa wao wanaitaji mwanamme wakumpa Ulinzi ,Heshima ,Amani ,Furaha na Mashine tuu.

Wanawake wenye kipato chakati wao pia wako km wanawake wenye kipato vikubwa ,wanajiamin sana ,wao ukimpenda anakupenda ,ukimzengua anakuzengua.

Wanawake wenye kipato cha chiniiiiiiiii huyu asipokua na akili Basi lazima awe obsessed navitu km pesa ,gari nanyumba.

Nampenda Kapeace Wangu maana niwakipekeee sanaaaa yaaaan hayupo kwa wenye kipato chajuuu au chakati au chachini..... Ila niwakipekee sana sanaa.
 
Wanaume wenzangu wenye vipato vikubwa, vya kati, na vya kawaida, tupeane mbinu za kukabiriana na wanawake wa aina hii, maana wanajiamini sana, wasumbufu baadhi Yao huko ktk ndoa ni wababe Kama babazao, baadhi wana dharau, tena sio kitoto, pia kuwaokoa, kutokana na jeuri zao za pesa na elimu zao wengi wamekuwa wakipata wanaume wanaofanana nao, tofauti inakuwa ni jinsia tu, ( samahani Kama kuna ninayemkera) Nina maana hata wanaume wanaomiliki wanawake wenye vipato vikubwa wana walakini flani hivi...ni mbinu gani zitumike kwa mwanaume mwenye kipato cha kawaida aliye katika mahusiano/ ndoa na mwanamke aliyemzidi kipato.....bila kuwepo ile dhana ya mwanaume ndio kila kitu....wanawake wana plan za ajabu juu yetu, unagundua Hilo wakiwa pekeyao wanatujadili wakidhani hakuna anayeskia....hata wao wanatuwekea vikao si vibaya na sisi tukajadili mbinu mpya za kwenda nao sawa.
Mwanamke ni mwanamke tu kwa mwanaume.
Ni ujinga na ushoga unaogopa kumtongoza mwanamke.
 
Wanawake Wenye Kipato Kikubwa Hupenda Kuwa Na Mwanaume Asiyekuwa Na Kazi Ili Amtawale Vizuri
 
Kama unafata kipato itabidi ukubali na uendelee kuumia tu coz hamna namna.

Ila kama mapenzi ya dhati, kuheshimiana, furaha, amani n.k. Hakuna sababu ya kung'ang'ania asiyependeka mbona wapo wengi tu wanaojua thamani ya upendo mkuu.

Don't waste your precious time.
 
Baadhi wana dharau, tena sio kitoto, pia kuwaokoa, kutokana na jeuri zao za pesa na elimu zao wengi wamekuwa wakipata wanaume wanaofanana nao, tofauti inakuwa ni jinsia tu, ( samahani Kama kuna ninayemkera).

Nina maana hata wanaume wanaomiliki wanawake wenye vipato vikubwa wana walakini flani hivi ni mbinu gani zitumike kwa mwanaume mwenye kipato cha kawaida aliye katika mahusiano/ ndoa na mwanamke aliyemzidi kipato bila kuwepo ile.

Maisha ya wengine changamoto zake zinakuhusu vipi?
 
Hivi unadhani mke wa machache anafanya kazi? Ukiona una pesa alafu mkeo bado anafanya kazi ujue hizo bado chache, jiongeze mkuu.
 
Usitafute muda wa kujadili na kuwaza watu, acha watu wakuwaze na kukujadili wao kwa mafaikio yako...

cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom