Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, hivi wanaume na wanawake.
Nipo kwenye mahusiano na mabinti wawili warembo sana, mmoja nimemzidi mwaka mmoja ni mwajiriwa na mwingine mdogo...
Habari za miangaiko ya kujenga taifa?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,
Hivi ni mda gani mpenzi ulie anzisha mahusiano kumpa daraja la uchumba na je ni vigezo vipi ufatwa hasa wakati huu...
Uko kwenye daladala katoto kamekuona ulivyopendeza na wenyewe wanajua vitu vizuri ati anakuchekea, ananyoosha mikono umchukue. Unaangalia mtoto anatoka kamasi na nguo aliyovaa inamikojo...
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema,
“Mwenyezi Mungu Hamuangalii mwanamke ambaye hamshukuru mume wake na wakati huo huo hawezi kufanya lolote bila ya mumewe”
Ewe mke...
Hello guys how are you doing?
Through reading your threads,comments and different advises they're so informative. It's all thanks to you that I've changed my view towards men. Before, I was so...
Inatokea mkeo au mpenzi wako anasumbuliwa na maradhi ambayo anatakiwa kumuona mtaalamu wa maradhi ya kike. Halafu kwa bahati nzuri unaye rafiki yako ambaye ni mtaalamu wa fani hiyo na anafanya...
Wakuu,
Kwa ambao mpo au mliwahi kuingia katika ndoa mtoe uzoefu wenu,
Ulioa (kwa wanaume) au uliolewa (kwa wanawake) ukiwa na umri gani?
Na unadhani uliwahi au ulichelewa kwa umri huo?
Hii itatoa...
wakuu kwema?
kuna binti ni rafiki yangu tu huwa tunachat mara moja moja tunapopata muda wa kufanya hivo,so leo kanambia kuna kitu anataka kunambia,suprisingly,kanitamkia tu kuwa she loves me to...
Jambo JF,
Wadau hapa mjengoni mie ni MwanaJf mgeni kiasi na tangu nimejiunga na JF nimejifunza mambo mengi hasa upande wa jukwaa la siasa.Hata hivyo katika kupitia majukwaa mengine nimeona kuwa...
Habari zenu,
Mwenzenu nina mpenzi ambaye asilimia kubwa mimi ndo msaada kwake, cha ajabu kapokea mshahara hata kunipa elfu kumi hajanipa nilienda kulala kwake hata kusema nauli hii hapa hakuna na...
Yupo Katika Taasisi moja ya Kiserikali. anafanya kazi kama secretary katika taasisi hiyo. ni mama mmoja mzuri kwa umbo,rangi na sura. lakini kinachoniua mimi si vitu hivyo. ni mama ambaye...
Amani iwe nanyi watu wa Mungu
Ktk siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi LA wanaume kupenda wake za watu, sijajua hii inatokana na nini.
Mlooa kuweni makini na wake zenu
Awali ilizoeleka...
Natafutamke pm kama unaweza.
Sifa. Awe mzur kiasi,mrefu kiasi mweupe kiasi mcha mungu ndo sifa kubwa kulikovyote
Pm then utapata namba ya cmu then tutachat kuwasap zaidi.
Habari ya asubuhi wakuu,
Ilikuwa mwezi wa 3 mwaka huu nilipo safiri kuja Dodoma kufanya kazi maramoja katika wiki hiyo, nilikutana na mrembo hapo ofisini tukapendana japo hatukufanya chochote...
Hii ni kwa akina Dada wa Tanga hongereni sijui mna kitu gani kikubwa kuwashinda wanawake wa mikoa mingine .
Hii imetokana na Mtoto wa Kitanga machachari, Schoolmate mwenzangu pale Cambridge Tz...
Habari zenu wakuu? Poleni na majukumu ya kila siku,
Wacha niendelee na mada,
Huyu binti nilikutana nae 2007 nikiwa shule A- level ilikuwa mwezi wa sita (likizo) yeye akiwa O- level nilitokea...
Mimi ni kijana nina umri miaka 27 Natafuta mke wa kuoana naye awe mwaminifu katika mapezi mwenye nia yakujenga dini yoyote rangi yoyote ila awe na shepu zuri tu umri 19-25 alie tayari aje pm au...
Hili ni swali ambalo nahisi halijawahi ulizwa humu basi nami sina budi kuliuliza,
Imejitokeza mara nyingi sana sisi wanaume kubagua wanawake wa kuoa, mara utasikia huyu hataki nesi au daktari au...
Habarini wakuu,
Kwa utafiti mdogo nilioufanya asilimia kubwa wanaoishi mbali na wake/waume zao ndoa zao haziko salama,Unaweza jipa moyo kua sio wote,lakini ukumbuke haya mambo yanaendeshwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.