Anaandika Shamsa Ford katika ukurasa wake wa Instagram kuwa wanawake na wanaume wengi wamekuwa wakin'gan'gania mahali wasipotakiwa.
Mugizaji huyo anazidi kusema kuwa wakati mwingine Mungu...
Bro. Huwa naona wewe unazungumzia zungumzia sana habari za tendo la ndoa. Mimi nawaza sana na ninajuta maana nmemchagua mchumba ni bikra. Nami pia ni bikra.
Nawaza tukioana sasa...
Mara nyingi watu wanapokuwa wanazungumzia ma ex wako, huwa wanawazungumzia in a bad light. Mara utasikia wakisema ex wao alikuwa mchoyo, katili, hajui kucare, machafu, mbahili, muongo, mchunaji...
Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi...
Asubuhi naamka nasachi shati ili nivae nikakutana na BUKU TANO (5000) ya kitanzania bila senti.
Nikasema asante Mungu maana sikutarajia na niliihiaji pia. ntakuwa niliisahau siku za nyuma...
Habari ya muda huu wanajukwaa
Kuna jambo limenibakisha na mshangao kama sio kupigwa butwaa, sikuwai fikiria mambo ndivyo yanavyosonga kinamna Hii
Issue yenyewe IPO hivi mpenzi anapewa heshima...
Wazazi afya za watoto na ufanisi wao shuleni unategemea sana malezi yetu na ratiba za nyumbani. Ili mtoto awe na afya njema na kuweza kumsikiliza mwalimu darasani vizuri na kuelewa ni lazima awe...
\Inakuwaje mwanamke anamtamani mwanamke mwenzie hadi anafikia hatua ya kuweka wazi? Hapa ishu si huyu dada yetu bali ni kwa wanawake wengi. Wanaona kawaida sana kujibainisha na jinsia ya kiume. Why?
Sijajua ni nini tatizo lakini sisi wanaume inakuwa ni ngumu sana kumwambia mtoto wa kike baby Nina shida na hela baby nisaidie
Ni KWANINI inakuwa ikoo hivoo
Habari wanabodi,
Aisee kati ya siku ambazo ni mbaya kwangu basi ni leo. Leo ningekuwa Dar basi ningeenda mitaa ya Sinza ili nipate huduma.
Ni wiki sasa imepita tangu nianzishe uhusiano na binti...
(Daily Mail Online)
A man took revenge on his cheating partner by playing a video of her cheating on him at their wedding.
Guests at the wedding in Singapore were astonished when they saw a...
Habari ya wakati mwisho wa juma wakuu.
Ni Afrika pekee(Hasa Tanzania ambayo naifahamu vizuri zaidi) ambapo wanaume tunachukua mikopo benki kununua madeni(kuoa).
Kuoa ni deni, lakini cha ajabu...
Katika familia baadhi ya familia migogoro ni mingi na utatuzi unatofautiana kulingana na mila na desturi za wahusika.
Naomba tupeane mbinu ni jinsi gani mnashiriki kutatua ugomvi au kusuruhisha...
Habari za muda huu wana JF?
Mwenzenu kuna jambo kidogo linanisumbua sana. Nina mpenzi wangu ninampenda sana ila yeye sina uhakika kama kweli ananipenda au laa. Ni kwamba mara nyingi huwa tuna...
Habari wana jf,natafuta rafiki wakike baadae aje kua mkewangu wa ndoa,kwa mawasiliano zaidi anitafute kwa namba 0689425236,sina vigezo Vinci,awe na umri wa miaka 27-40,
Na sidhani kama haya mambo yana exist kwa kweli, maana watu tumevurugwa.
Kwanza huo muda utautoa wapi wa kuanza kumuita mtu honey sijui baby!
Kwanza muda wa kutongoza nao unatoka wapi? Ilihali...
Ikitokea umepata msichana au mwanamke ambae unamuona ana tamaa ba pesa zako au mali zako.
Au ikitokea umepata mwanamke anaetaka kupata mali kupitia mahusiano na yeye na wewe mara utasikia nataka...
Asubuhi ya leo nilipoamka baada ya kusali na kufanya tafakari fupi niliamka na kwenda nje ili niweze kuliwahi jua la asubuhi ambalo kwa kweli huifanya siku yangu iwe nzuri sana nilitoa simu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.